Mo Dewji tuachie Simba SC yetu ili uendelee na Maisha yako kwani siyo Siri tumeshakuchoka na Usanii wako

Ila huyu member anaongoza kwa blah blah na kutokuwa na misimamo na nyuzi zake. Saizi ana laumu usajili wa Sawadogo lakini majuzi tu akafungua uzi kwamba kwa wanaojua mpira, Sawadogo ni bonge la mchezaji.

Ni certified popoma
 
Kuna kitu haiko sawa kwa kichwa yake
 
Mbona jana wakati ukienda kuroga hukuyasema haya,mbona ulijiaminisha mnashinda mapema ikiwa ulijua kikosi kibovu? au kiliingia kikosi kipya
Nyie wachambuzi uchwara na msiojua mpira ndo mnawapoteza wenzenu,ujuaji mwingi tu unawasumbua
ndio maana anaitwa popoma,mbumbumbu
 
Back
Top Bottom