New City
JF-Expert Member
- Apr 17, 2014
- 2,880
- 3,794
Ni certified popomaIla huyu member anaongoza kwa blah blah na kutokuwa na misimamo na nyuzi zake. Saizi ana laumu usajili wa Sawadogo lakini majuzi tu akafungua uzi kwamba kwa wanaojua mpira, Sawadogo ni bonge la mchezaji.
Anayemuona Sawadogo ni Galasa Simba SC atupishe tunaoujua Mpira na akalime Mbaazi Kijijini Kwao
Tena kama kuna Mchezaji aliye block Mipira mingi ya Viungo wa Horoya FC huku akiwasumbua na Kuziba Mashimo vyema na akitoa Pasi za uhakika, akijiamini na kupiga Chenga zilizoenda Shule ni Kiungo Mbukinabe Ishmael Sawadogo. Kinachomgharimu kwa sasa japo taratibu kinaanza Kuondoka ni Uzito...www.jamiiforums.com