Mo Dewji tuachie timu yetu

Mo Dewji tuachie timu yetu

Justine Marack

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
612
Reaction score
1,698
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri.

Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake.

Huyu ametapatapa sana kutaka kumiliki timu, tangu Africa Lion ambayo ilimshinda na kuja Simba kwa mgongo wa udhamini.

Haji Manara ameondolewa makusudi. Mo Dewj alimtumia Babra ili amkoseshe amani Manara, lengo walitaka Manara akasirike na kuongea maneno kwa hasira ili wapate njia ya kumchafua kwa Mashabiki.

Mo Dewji hataki kutoa Bilioni 20. Anamtumia Hawara yake Barbara kuomba mkopo kwa Bwana wake Dewji ili Baade waje kuzikat toka Bil 20.

Niwakati sasa Mchakato wa mabadiliko urudiwe. Tunataka muundo uwe kama Yanga, hatutaki Muwekeaji Mmoja
 
Kwa ninachokiona Simba ni kuwepo kwa mstali mwembamba sana kati Simba Kama kampuni inayojitegemea na Mo kama mwekezaji katika kampuni ya Simba.

Kuna uwezekana wa kuja kutokea mgongano wa maslahi kati ya Simba na biashara za Mo, Inasemekana mgogoro wa Manara na Simba ni kutokana na Mo kutaka Manara asitumike kutangaza biashara/bidhaa zingine Sasa unaniuliza Manara ni mwajiriwa wa Simba au Mo, kwaiyo kama haitawekwa wazi mipaka ya uwekezaji katika Simba kuna hatari ikaja kuonekana Simba ni kampuni tanzu ya Mo
 
Yanga huyu jamaa wanamchukia sana, kawakosesha furaha miaka minne mfululizo .. anyway shabiki hamna anachokitaka zaidi ya furaha na burudanj ya soka hayo mengine waachieni wenyewe .. mo ataendelea kubaki Simba, wenye kuteseka semeni kabisa mnateseka mkiwa wapi ..
 
Back
Top Bottom