Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2019
Posts
2,224
Reaction score
4,472
Kiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba.

Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa.

Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni Mambumbumbu kabisa we Fanya utakavyo Maana Simba Ni Mali yako kama Magari yako au Mkeo.

#SHABIKI LILIA WA KOLO WAS HERE
 
Back
Top Bottom