KJ07
JF-Expert Member
- Dec 17, 2021
- 2,370
- 5,381
Simba Sports Club ni mali ya wahindi koko.Alinunua kanjibai mpaka wajukuu wanamiliki , acheni kulilia mali za ukoo
Na mashabiki wake nao ni mali ya wahindi koko
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba Sports Club ni mali ya wahindi koko.Alinunua kanjibai mpaka wajukuu wanamiliki , acheni kulilia mali za ukoo
Uongozi wetu upi? It means hata uongozi wote ni wake.Ila mbona viongozi wenu hawakulisema hili kama walishaiuza klabu miaka 5 iliyopita mpaka amekuja kusema yeye mwenyewe.
Au walikua hawajapewa kibali na mwenye timu.
Usitutukane matus yote haya.. tumeshaomba Msamaha sisi kwa Tajiri.Mashabiki wa Simba wanakua kama wale mabogas kwenye lile tangazo la kifurushi cha Azam tv Yule jamaa wa mizengwe(nikumbusheni jina) Eti Majirani Wanamjunia kisa hajanunua kifurushi.
🤣🤣🤣mkuu mimi naomba kuulizaUsitutukane matus yote haya.. tumeshaomba Msamaha sisi kwa Tajiri.
Anatokaje Team ni yake?😂😂😂🤣🤣🤣mkuu mimi naomba kuuliza
Kanjibai ana share ngapi pale simba? Na je akitoka timu haitapitisha bakuli mtaaani kama ndondo😂😂?
Sasa hawa wanaobisha wanabisha nini?Anatokaje Team ni yake?😂😂😂
Kina MANGUNGU na TRY AGAINUongozi wetu upi? It means hata uongozi wote ni wake.
Waje Tuombe Msamaha!!Ngoja waje
Usitusimange sisi ni Ma mbumbumbuMnafikiri kuendesha timu ya mpira ni kama kuendesha familia siyo, sawa!
Unakuta anaeandika uzi kapanga chumba kimoja na bando la bukuKiukweli tusamehe sana MO, Mimi nikiwa wakilisha Mashabiki wenzangu wa Simba.
Naomba Utusamehe sana kukusema kuwa wewe ni bahili Mara hujitoi na tukaenda mbali kukulazimisha kuachia Timu pasipokujua hii ni Mali yako na umeinunua Miaka Mingi yapata 5 sasa.
Tusamehe sana RAIS WA HESHIMA Sisi ni Mambumbumbu kabisa we Fanya utakavyo Maana Simba Ni Mali yako kama Magari yako au Mkeo.
#SHABIKI LILIA WA KOLO WAS HERE
Billion 20 zipi wakat mtu kila Mwaka anapoteza B10?MO ni janja janja ,alipe bilioni 20 za wanasimba.
Kwahio wanaoishi Nyumba za Kupanga unawaona wao mafala?Unakuta anaeandika uzi kapanga chumba kimoja na bando la buku
Sema uko kwa shemejio dada ako akitiwa ukuni ndio kula yakoKwahio wanaoishi Nyumba za Kupanga unawaona wao mafala?
Halaf uliejenga unajiona Umefanikiwa sana? Duuuh!!
Sawa..Uzuri na Ubaya Ni kua JamiiForum humjui mtu unakua una guess tu,Mara hivi Mara vile,but ukute ndie mtu anaekulia kila Mara huyo Mkeo.Sema uko kwa shemejio dada ako akitiwa ukuni ndio kula yako
Mke wangu kazeeka sasa hivi tunalea wajukuuSawa..Uzuri na Ubaya Ni kua JamiiForum humjui mtu unakua una guess tu,Mara hivi Mara vile,but ukute ndie mtu anaekulia kila Mara huyo Mkeo.