Mo Dewji tunaomba utusamehe sisi sote tuliokunyoshea kidole kwenye Mali yako

Sawa timu imeuzwa! Lakini hiki hakikua kipindi sahihi cha kuanza kwa mjadala huo, bwana mudi alipaswa asubiri matokeo ya mechi yetu na Galaxy ndio alete hii hoja.

Technically kuna kitu hakijakaa sawa, Mo ajitokeze mbele za watu kuliweka hili jambo sawa tena ikiwezekana ndani ya masaa 12 yajayo.
 
Hivi hapo Interview imefanywa Lini?
Tusiwe tuna mlaumu MO tu daily kua anafanya hizi interview wakat simba inakaribia kucheza No.

Tuwalaumu pia wanaomfanyia Interview ujue hizi interview ukute zilifanyika Mwez wa 1 Mwishoni au wa Pili mwanzon ila mtu akakaa nayo anaangalia Mda gani akiitoa itamlipa?

Kwahio tujue pia Mda gani Interview ilifanywa kama imefanyika Lastweek FINE tumlaumu MO ila kama ya Zaman tusimlaumu kabisa.
KWANZA NI MALI YAKE NIMEKUMBUKA😂😂😂
 
 
Najalibu kuwaza miaka 5 iliyopita. Napata picha kua.timu zote simba na yanga zilikua zinauzwa na mkono wa serkali ya jiwe.
Na hii inawezakua ndio sababu ya manji kusumbuliwa wakati ule. Hadi kuachana kabisa na yanga.
Bahati nzuri GSM ina mkono mzito wa mzee mstafu.akainusuru. hatari sana..!!
Serkali ile ilikua ikikwama hela inafanya chochote cha ajabu.
 
Mkuu Asante kwa elimu hii
 
Unaweza kuta magu ndo alikula zile bil 20
 
kweli kabisa...aweke mabandiko ya MOXtra hata 16 kwenye jezi za timu yake hatubishi wala kuhoji tena
 
kweli kabisa...aweke mabandiko ya MOXtra hata 16 kwenye jezi za timu yake hatubishi wala kuhoji tena
Tumekosa..Na wakitolewa robo mwaka huu wachezaji wasibebe Ndoo tu za Sabuni bali wakawe makago wakushusha bidhaa na kupandisha viwandani kwake😂
 
Kabla ya kufaham kuwa Simba ni Mali ya Mo, wanasimba walikuwa na kauli ya "Mo tuachie timu yetu". Ila kwakuwa kaweka wazi kuwa Simba ni Mali yake na viongozi wa timu hawajakanusha basi kuanzia Jana madundukwa fc a.k.a 3 malogo fc waanzishe kauli ya "Mo tumekuachia timu yako"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…