Mo Dewji: Usajili umefika pazuri

Mo ni janja janja tu. Mpaka muda huu amefanya usajili gani zaidi ya ule wa free agent Saido Ntibazonkiza?
Hukui kusoma? Mwambie huyu aliyekuandikia hapa hakusomee usipoelewa akueleweshe pia
 
Mo ni janja janja tu. Mpaka muda huu amefanya usajili gani zaidi ya ule wa free agent Saido Ntibazonkiza?
Ela za usajili atoe wapi?? Ogopa matapeli Mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiskia ule wimbo wa diamond na Koffi Olomide "wameingia chakike waaa" ndio hawa Simba sasa wameingizwa cha kike
 
Timu kutoka hapa bongo na kwenda Dubai na kukaa kwa siku 10 ni zaidi ya 700m, mtu kama huyu anaweza kukosa pesa ya usajili?

Wala mihogo wana tabu sana
 
Janja janja ni GSM na mikataba ya kihuni, Morrison na Fei Toto ni ushahidi tosha wa Janja janja..
Mwekezaji wenu ni janja janja tu! Mpaka leo hata bilioni 20 alizoahidi kuwekeza kwenye timu, tu hazijulikani zilipo!
 
Mwekezaji wenu ni janja janja tu! Mpaka leo hata bilioni 20 alizoahidi kuwekeza kwenye timu, tu hazijulikani zilipo!
Vyura mnavyohaha na 20B utafikiri mna mgawo wenu, si mashabiki chetu ni kuona timu inashinda unaulizia 20b na hujawekeza? maana huna hata gawio.

Ni sawa na mashabiki wa Arsenal enzi za Arsen Wenger wanashangilia timu kutangaza faida kila mwana na hawana makombe miaka nenda miaka rudi
 
Ninyi mnatofautia gani na hao mashabiki wa Arsenal? Mna kombe gani kwa sasa? Hata la mapinduzi hamna, na Wala hamuonekani kuchukua kombe lolote miaka ya hivi karibuni
 
Ninyi mnatofautia gani na hao mashabiki wa Arsenal? Mna kombe gani kwa sasa? Hata la mapinduzi hamna, na Wala hamuonekani kuchukua kombe lolote miaka ya hivi karibuni
Huna akili kumbe, toka MO chachukua timu tuna makombe mangapi? na tumepiga hatua ngapi kimataifa? Yaani kakombe kamoja mnapiga kelele mnahesabu hadi ngao ya jamii kama kombeπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…