Mo Dewji: Usajili umefika pazuri

Mo Dewji: Usajili umefika pazuri

Mo anaisaidia sana simba simba tumebeba makombe mengi kipindi cha mo. Watu wanahoji bil .20 ila hawaulizi hizi safari za simba kusajili wachezaji hela anatoa nani
 
Huyu mwekezaji uchwara bado mnaimani naye?
IMG-20230111-WA0017.jpg
 
Huna akili kumbe, toka MO chachukua timu tuna makombe mangapi? na tumepiga hatua ngapi kimataifa? Yaani kakombe kamoja mnapiga kelele mnahesabu hadi ngao ya jamii kama kombe🙂🙂🙂🙂
Blaza hao kuna muda akili wanaacha kabatini.Anawaza hapo hapo tu kana kwamba Mo simba kaingia jana.
 
Back
Top Bottom