Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ogopa matapeli mkuu, Mo mjanja mjanja tu bilioni 20 hajaweka, hata hiyo safari ya Dubai ni kwa hisani ya GSM..Hivi Ile bil 20 aliweka akaunti gani?
Hukui=hujui.Hukui kusoma? Mwambie huyu aliyekuandikia hapa hakusomee usipoelewa akueleweshe pia
Na nyie mwekezaji wenu?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kataa janja janja kutoka kwa mwekezaji wenu janja janja.
Ile ile akaunti Fei toto aliyoweka zile M120 alizorudisha Utopoloni 1935 baada ya kuona mshahara miyeyusho akawa anakopa mpaka kodi ya pangoHivi Ile bil 20 aliweka akaunti gani?
Akaunti yakoHivi Ile bil 20 aliweka akaunti gani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Makolo mulibwanji babaAkaunti yako
[emoji881] gufu moyaIle ile akaunti Fei toto aliyoweka zile M120 alizorudisha Utopoloni 1935 baada ya kuona mshahara miyeyusho akawa anakopa mpaka kodi ya pango
Umeumia we mcheza uchi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Makolo mulibwanji baba
Unafikiri hiyo 700m inatoka mfukoni mwake we mbumbumbuTimu kutoka hapa bongo na kwenda Dubai na kukaa kwa siku 10 ni zaidi ya 700m, mtu kama huyu anaweza kukosa pesa ya usajili?
Wala mihogo wana tabu sana
Hapana inatoka mfukoni mwako..Unafikiri hiyo 700m inatoka mfukoni mwake we mbumbumbu
Ndo ujue Nina hela kuliko huyo tapeli MoHapana inatoka mfukoni mwako..
Mlisema hajaweka hela baadae mkasema anataka kuuza hisa zake mbona utopolo mnahangaika sanaHivi Ile bil 20 aliweka akaunti gani?
Huyu mwekezaji uchwara bado mnaimani naye?
Blaza hao kuna muda akili wanaacha kabatini.Anawaza hapo hapo tu kana kwamba Mo simba kaingia jana.Huna akili kumbe, toka MO chachukua timu tuna makombe mangapi? na tumepiga hatua ngapi kimataifa? Yaani kakombe kamoja mnapiga kelele mnahesabu hadi ngao ya jamii kama kombe🙂🙂🙂🙂
haijulikani kama ambavyo haijulikani akaunti ambayo ziliwekwa na FeisalHivi Ile bil 20 aliweka akaunti gani?