Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakaye elewa anifafanulieUmeipokea kauli hii ukiwa wapi ndugu Wana utopolo?View attachment 2477159
Ela za usajili atoe wapi?? Ogopa matapeli Mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mo ni janja janja tu. Mpaka muda huu amefanya usajili gani zaidi ya ule wa free agent Saido Ntibazonkiza?
Timu kutoka hapa bongo na kwenda Dubai na kukaa kwa siku 10 ni zaidi ya 700m, mtu kama huyu anaweza kukosa pesa ya usajili?Ela za usajili atoe wapi?? Ogopa matapeli Mzee baba[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukiskia ule wimbo wa diamond na Koffi Olomide "wameingia chakike waaa" ndio hawa Simba sasa wameingizwa cha kike
Kataa janja janja kutoka kwa mwekezaji wenu janja janja.Hukui kusoma? Mwambie huyu aliyekuandikia hapa hakusomee usipoelewa akueleweshe pia
Hiyo milioni 700 si bora hata angeenda kuligomboa lile basi lenu kubwa linaloshikiliwa na mdhamini!!Timu kutoka hapa bongo na kwenda Dubai na kukaa kwa siku 10 ni zaidi ya 700m, mtu kama huyu anaweza kukosa pesa ya usajili?
Wala mihogo wana tabu sana
Mwekezaji wenu ni janja janja tu! Mpaka leo hata bilioni 20 alizoahidi kuwekeza kwenye timu, tu hazijulikani zilipo!Janja janja ni GSM na mikataba ya kihuni, Morrison na Fei Toto ni ushahidi tosha wa Janja janja..
Hiyo milioni 700 si bora hata angeenda kuligomboa lile basi lenu kubwa linaloshikiliwa na mdhamini!!
Mil 700 za kuchora?? Rage aliwajua vyema nyie mbumbumbuTimu kutoka hapa bongo na kwenda Dubai na kukaa kwa siku 10 ni zaidi ya 700m, mtu kama huyu anaweza kukosa pesa ya usajili?
Wala mihogo wana tabu sana
Asante kupenyezea hii taarifa njemaUmeipokea kauli hii ukiwa wapi ndugu Wana utopolo?View attachment 2477159
Kale kakiduku kazenji mmekasajili kwa shilingi ngapi?Mo ni janja janja tu. Mpaka muda huu amefanya usajili gani zaidi ya ule wa free agent Saido Ntibazonkiza?
Vyura mnavyohaha na 20B utafikiri mna mgawo wenu, si mashabiki chetu ni kuona timu inashinda unaulizia 20b na hujawekeza? maana huna hata gawio.Mwekezaji wenu ni janja janja tu! Mpaka leo hata bilioni 20 alizoahidi kuwekeza kwenye timu, tu hazijulikani zilipo!
Ninyi mnatofautia gani na hao mashabiki wa Arsenal? Mna kombe gani kwa sasa? Hata la mapinduzi hamna, na Wala hamuonekani kuchukua kombe lolote miaka ya hivi karibuniVyura mnavyohaha na 20B utafikiri mna mgawo wenu, si mashabiki chetu ni kuona timu inashinda unaulizia 20b na hujawekeza? maana huna hata gawio.
Ni sawa na mashabiki wa Arsenal enzi za Arsen Wenger wanashangilia timu kutangaza faida kila mwana na hawana makombe miaka nenda miaka rudi
Huna akili kumbe, toka MO chachukua timu tuna makombe mangapi? na tumepiga hatua ngapi kimataifa? Yaani kakombe kamoja mnapiga kelele mnahesabu hadi ngao ya jamii kama kombe🙂🙂🙂🙂Ninyi mnatofautia gani na hao mashabiki wa Arsenal? Mna kombe gani kwa sasa? Hata la mapinduzi hamna, na Wala hamuonekani kuchukua kombe lolote miaka ya hivi karibuni