Mo Dewji: Usajili umefika pazuri

Mo anaisaidia sana simba simba tumebeba makombe mengi kipindi cha mo. Watu wanahoji bil .20 ila hawaulizi hizi safari za simba kusajili wachezaji hela anatoa nani
 
Huna akili kumbe, toka MO chachukua timu tuna makombe mangapi? na tumepiga hatua ngapi kimataifa? Yaani kakombe kamoja mnapiga kelele mnahesabu hadi ngao ya jamii kama kombeπŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
Blaza hao kuna muda akili wanaacha kabatini.Anawaza hapo hapo tu kana kwamba Mo simba kaingia jana.
 
Wala mihogo wa gongowazi mnateseka sana na Simba Taifa Kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…