Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio tu nafutalia Simba bali nafuatilia mpira kiujumla na ndio maana nimeuliza hilo swali.Hivi unafatilia Simba kweli? Kama unafatilia usingeuliza Hilo swali. Usichoelewa ni ngumu tajiri kuridhika siku zote anawaza kupata zaidi. Malengo ya mo sio kuwa miongini mwa matajiri wakubwa Afrika Bali kuwa tajiri namba moja, utajiri wake usikupumbaze ukawaza hazikodolei macho pesa za CAF
Siyo majungu ila yule mhindi ni mbabaishaji mara aseme keshatoa bilioni 20,mara aseme anasubiri mchakato ukamilike ndiyo atoe,mara aseme toka 2018 mpaka sasa ametoa hela nyingi zaidi ya bil.24 hivyo kama vipi yeye hadaiwi chochote yeye ndiyo anadai chenji lakini wakati analeta ngonjera zote hizo timu kaishikilia mateka anapanga na kupangua safu ya uongozi kama yeye ndiye mmiliki wa klabu kwa 100%Majungu Sasa haya [emoji23][emoji23]
mimi staki aende mtibwaHatusemi ahame ila tunamuomba uwekezaji wake aupeleke Mtibwa Sugar ainusuru.
Mwambie atoe mpunga, tena ikiwezekana wanachama wapandishe dau maana alichotakiwa kukitoa kwa sasa thamani yake imeshuka sana na nafikiri ndiyo lengo lake.mimi staki aende mtibwa
Ni wewe humwelewi mimi namwelewa vizuri tuSiyo majungu ila yule mhindi ni mbabaishaji mara aseme keshatoa bilioni 20,mara aseme anasubiri mchakato ukamilike ndiyo atoe,mara aseme toka 2018 mpaka sasa ametoa hela nyingi zaidi ya bil.24 hivyo kama vipi yeye hadaiwi chochote yeye ndiyo anadai chenji lakini wakati analeta ngonjera zote hizo timu kaishikilia mateka anapanga na kupangua safu ya uongozi kama yeye ndiye mmiliki wa klabu kwa 100%
Sasa mtu kama huyo tumueleweje?
Akikujibu nitagSio tu nafutalia Simba bali nafuatilia mpira kiujumla na ndio maana nimeuliza hilo swali.
Nimeomba unitajie hicho kiasi ambacho Simba inapokea kutoka CAF ambacho kinampa tamaa Mo ya kukihitaji.
Kingine Mkuu tuambie umejuaje malengo ya MO yaliyo sirini mwake?
Nikikuambia hizo ni speculations zako ambazo huwezi kuzithibitisha ntakuwa nakosea?
Kama Simba inapata fungu kutoka CAF ambalo linaweza kumfanya MO alitolee mate basi ni wazi kwamba Simba ilikuwa inapata hela nyingi kuliko kile alichokuwa anatoa MO.
Na kwa fact hiyo ni kwamba unakuwa unatuaminisha kuwa Simba tulikuwa na nafasi ya kujiendesha bila mwekezaji kwasababu ya hilo fungu kutoka CAF.
Hoja ni hii
Kwanini Simba ilishindwa kujiendesha yenyewe kwa pesa hizo za CAF mpaka kuamua kumtafuta mwekezaji?
pesa za kuendesha timu kwa sasa wewe umetoa sh ngapi?Mwambie atoe mpunga, tena ikiwezekana wanachama wapandishe dau maana alichotakiwa kukitoa kwa sasa thamani yake imeshuka sana na nafikiri ndiyo lengo lake.
Ni kawaida,hakuna anayewaza kwa niaba ya mwingine.Ni wewe humwelewi mimi namwelewa vizuri tu
Tatizo ni kuingia CAF group stage bila hela is almost impossible.Kwanini Simba ilishindwa kujiendesha yenyewe kwa pesa hizo za CAF mpaka kuamua kumtafuta mwekezaji
Umesikia nimetaka kuwa muwekezaji? Halafu mbona kama unakereka sana! Shida nini? Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake kwa kadri anavyoona inafaa sio lazima kila mtu amuunge mkono huyo MO wako,kama anaweza atoe hela na kama hawezi aache fursa hiyo kwa wengine.pesa za kuendesha timu kwa sasa wewe umetoa sh ngapi?
Kwakweli pale Simba ....selikari iingilie katiSiyo majungu ila yule mhindi ni mbabaishaji mara aseme keshatoa bilioni 20,mara aseme anasubiri mchakato ukamilike ndiyo atoe,mara aseme toka 2018 mpaka sasa ametoa hela nyingi zaidi ya bil.24 hivyo kama vipi yeye hadaiwi chochote yeye ndiyo anadai chenji lakini wakati analeta ngonjera zote hizo timu kaishikilia mateka anapanga na kupangua safu ya uongozi kama yeye ndiye mmiliki wa klabu kwa 100%
Sasa mtu kama huyo tumueleweje?
Mtafute mtu aliyewahi kupiga kazi Kwa wahindi ....akupe briefing [emoji23]Sasa kama unaongozwa na ushabiki mbona kila muda unaongelea ooh mara nimetoa pesa nyingi ooh mara sijui nini !
We jikite kwenye ushabiki acha kulialia umetoa hiki oooh mara hiki !
Huoni wenzio kama Mzee Bakhress na wanae hata huskii wameota hiki au kile na hata GSM hatujamskia !
Nitajie Club yeyote unayoijua wewe ambayo imejiendesha kupitia bonus za mashirikisho na kufanikiwa kupata mataji bila mwekezajiTatizo ni kuingia CAF group stage bila hela is almost impossible.
Pia pamoja na matangazo (average 30% ya gharama za biashara), pia katika jerseys anapata hela nyingi kupitia kampuni yake.
Uzuri wa AFL na CAFCL unalipwa in USD. Utajiri wa MO ni TZS ambayo nobody wants.
Hawezi kubadilisha 3T shillings in to USD never na shillings zinadondoka kila mwaka.
So, hiyo ni sehemu mojawapo ya kujiingizia Dollars.
Nitajie Club yeyote unayoijua wewe ambayo imejiendesha kupitia bonus za mashirikisho na kufanikiwa kupata mataji bila mwekezaji
Uwekeze hela kutoka vyanzo gani?Soma sentensi ya kwanza. Inabidi uwekeze hela ili upate hela, bila kuwekeza ni vigumu kuingia group stage. Timu masikini huchujwa kuingia group stages.
Baada ya hapo, kuna faida kadri utakavyoendelea. Na ukishaendelea na kupata fedha, basi asilimia kubwa itakuwa wewe ni timu ya kupata hela za bonus na hizo hela zina faida kubwa.
Kisichoeleweka hapo kipi?