Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiwa na akili timamu hatajibu, wanajua kuchonga mdomo Tu wakati hata cents tano hajachangia na wala hawezi kuchangia!pesa za kuendesha timu kwa sasa wewe umetoa sh ngapi?
Akikutag nitag.Akikujibu nitag
Kila la kheri zao...
Kwasababu ana pesa. Wewe leta dharau uone kama hujang'atwa na mbwa koko wa mtaani kwenu!Ana dharau sana huyu jamaa
Kwani uongo ndugu zanguHata hivyo... alisema Simba ni yake
Bongo hata bila pesa Tuna wapo wenye dharauKwasababu ana pesa. Wewe leta dharau uone kama hujang'atwa na mbwa koko wa mtaani kwenu!
Kwa sheria ipi,🤣🤣🤣🤣🤣Timu ni yake ...aliinunua[emoji23]