mzee hayo ni mambo ya kimkataba mkuu aiseeKama kampuni za Sportpesa, m-bet, Azam media, NBC na TBC zimetoa billion zile zote kwaajili ya kutangazwa na Simba na Yanga kwenye jezi zao je, mo na GSM kuweka matangazo yenu kwenye jezi za Simba na Yanga unalipa bei gani?
Mfano, m-bet kuweka tangazo lake moja TU kwenye jezi ya Simba amelipa Tsh 26billion, je mo kuweka matangazo 3 ya bidhaa zake kwenye jezi ya Simba alipaswa kulipa bei gani? Kama sportpesa kalipa 12 b kuweka tangazo lake moja pale kwenye jezi ya Yanga je GSM kubandika nembo yake pale kifuani kwenye jezi za Yanga analipa bei gani? Wote hawa wanafaidika na matangazo.
Mbumbumbu haya mambo ni mazito kwao anajua kwa kuwa mbet kaweka 26 basi mo ilitakiwa aweke 26*3 (kila tangazo alipie 26)mzee hayo ni mambo ya kimkataba mkuu aisee
Shabiki mwenzio wa mbumbumbu fc huyoNilichogundua watu wanapenda kuhoji lakini hawana muda wa kufuatilia vitu kabla ya kuhoji. hata unge gugo tu ungejua kama matangazo ya Mo na GSM kwenye jezi yana mikataba na yanalipiwa. Jitahidi kuficha ujinga
Naona msimu huu kulingana na Yanga ilivyo chukua makombe na kujiongezea thamani, Yanga hawakutaka kukubali kuendelea na mkataba ule wa mwaka janaSio kila hoja inajadiliwa kishabiki Gsm anawalipa yanga 1350 Kwa kila jezi anayouza mo hataki mikataba ya Bei ndogo sio kosa kuhoji yeye analipia shilingi ngapi?
Cha ajabu Manara anawapoteza kujadili mkataba wa Simba.Naona msimu huu kulingana na Yanga ilivyo chukua makombe na kujiongezea thamani, Yanga hawakutaka kukubali kuendelea na mkataba ule wa mwaka jana...
Huyo ni mtopolo wa kutupwa. Ndo ujue sasa kwamba Mashabiki wa utopolo wengi wao ni hamnazoShabiki mwenzio wa mbumbumbu fc huyo
Mbumbumbu wanafahamika hata kwA miandiko yaoHuyo ni mtopolo wa kutupwa. Ndo ujue sasa kwamba Mashabiki wa utopolo wengi wao ni hamnazo
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Ni mbumbumbu wa Uto huyo tena lia liaMbumbumbu wanafahamika hata kwA miandiko yao
wanateseka sana haoMbumbumbu haya mambo ni mazito kwao anajua kwa kuwa mbet kaweka 26 basi mo ilitakiwa aweke 26*3 (kila tangazo alipie 26)
Ujinga,Wivu,Chuki vinachangia pakubwa sana yaani jitu Linaamshwa lifanye usafi kwa Shemeji yake hasira zake linakuja kuzimalizia uku mtandaoni....kwaio mtoa mada wewe unamahesabu makali kuliko hao Matajiri?? Au unahisi wanabandika matangazo bure??shenzitype kabsaNilichogundua watu wanapenda kuhoji lakini hawana muda wa kufuatilia vitu kabla ya kuhoji. hata unge gugo tu ungejua kama matangazo ya Mo na GSM kwenye jezi yana mikataba na yanalipiwa. Jitahidi kuficha ujinga
Manara anajitutumua kujadili maswala ya mpira ili asisahaulike, anajikuta kila tukio halimpiti ili mradi tu naye aonekane kaongeaCha ajabu Manara anawapoteza kujadili mkataba wa Simba.
Gsm alichofanya ni kumzuia yule mama asipate umakamu maana alitaka kuwe kunatangazwa tenda ya jezi kitu ambacho gsm hataki
Hivi huo mbichwa una neurones zenye rutuba kiakili katika ubongo wako au ni mifunza tupu ya ki - MAKOLO KOLO iliyomo [emoji848][emoji1]Huyo ni mtopolo wa kutupwa. Ndo ujue sasa kwamba Mashabiki wa utopolo wengi wao ni hamnazo
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mikataba ya kinyonyaji uzuzu kabisa hii. Tena mtu analalama eti anapata hasara wakati amejaza matangazo yake kwenye jezi, anauza wachezaji, anapata get collection na anauza jezi, wakati sportpesa/m-bet, NBC, Azam wanaishia matangazo TU baaasi na wameridhika na faida wanapatamzee hayo ni mambo ya kimkataba mkuu aisee
Una hoja ya msingi sanaKama kampuni za Sportpesa, m-bet, Azam media, NBC na TBC zimetoa billion zile zote kwaajili ya kutangazwa na Simba na Yanga kwenye jezi zao je, mo na GSM kuweka matangazo yenu kwenye jezi za Simba na Yanga unalipa bei gani?
Mfano, m-bet kuweka tangazo lake moja TU kwenye jezi ya Simba amelipa Tsh 26billion, je mo kuweka matangazo 3 ya bidhaa zake kwenye jezi ya Simba alipaswa kulipa bei gani?
Kama sportpesa kalipa 12 b kuweka tangazo lake moja pale kwenye jezi ya Yanga je GSM kubandika nembo yake pale kifuani kwenye jezi za Yanga analipa bei gani? Wote hawa wanafaidika na matangazo.
Zitangazwe kama vile m bet, sportpesa, Azam na NBC walivyotangaza na kutangazwa mbele ya camera. Kwanini unataka twende TUka Google kujua wanalipa bei gani? mbona wanasema wanapata hasara tyuuu?Nilichogundua watu wanapenda kuhoji lakini hawana muda wa kufuatilia vitu kabla ya kuhoji. hata unge gugo tu ungejua kama matangazo ya Mo na GSM kwenye jezi yana mikataba na yanalipiwa. Jitahidi kuficha ujinga