Mo na GSM mnazijua hesabu za mlinganyo?

Mo na GSM mnazijua hesabu za mlinganyo?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Kama kampuni za Sportpesa, m-bet, Azam media, NBC na TBC zimetoa billion zile zote kwaajili ya kutangazwa na Simba na Yanga kwenye jezi zao je, mo na GSM kuweka matangazo yenu kwenye jezi za Simba na Yanga unalipa bei gani?

Mfano, m-bet kuweka tangazo lake moja TU kwenye jezi ya Simba amelipa Tsh 26billion, je mo kuweka matangazo 3 ya bidhaa zake kwenye jezi ya Simba alipaswa kulipa bei gani?

Kama sportpesa kalipa 12 b kuweka tangazo lake moja pale kwenye jezi ya Yanga je GSM kubandika nembo yake pale kifuani kwenye jezi za Yanga analipa bei gani? Wote hawa wanafaidika na matangazo.
 
Mfano, m-bet kuweka tangazo lake moja TU kwenye jezi ya Simba amelipa Tsh 26billion, je mo kuweka matangazo 3 ya bidhaa zake kwenye jezi ya Simba alipaswa kulipa bei gani? Kama sportpesa kalipa 12 b kuweka tangazo lake moja pale kwenye jezi ya Yanga je GSM kubandika nembo yake pale kifuani kwenye jezi za Yanga analipa bei gani? Wote hawa wanafaidika na matangazo.
mzee hayo ni mambo ya kimkataba mkuu aisee
 
Lazima utakuwa shabiki wa mbumbumbu
 
Nilichogundua watu wanapenda kuhoji lakini hawana muda wa kufuatilia vitu kabla ya kuhoji. hata unge gugo tu ungejua kama matangazo ya Mo na GSM kwenye jezi yana mikataba na yanalipiwa. Jitahidi kuficha ujinga
Shabiki mwenzio wa mbumbumbu fc huyo
 
Sio kila hoja inajadiliwa kishabiki Gsm anawalipa yanga 1350 Kwa kila jezi anayouza mo hataki mikataba ya Bei ndogo sio kosa kuhoji yeye analipia shilingi ngapi?
 
Sio kila hoja inajadiliwa kishabiki Gsm anawalipa yanga 1350 Kwa kila jezi anayouza mo hataki mikataba ya Bei ndogo sio kosa kuhoji yeye analipia shilingi ngapi?
Naona msimu huu kulingana na Yanga ilivyo chukua makombe na kujiongezea thamani, Yanga hawakutaka kukubali kuendelea na mkataba ule wa mwaka jana

Wame force mpaka wameongezewa dau kutoka 1300 ambayo walikuwa wanachukua mwaka jana mpaka 1350

Hiyo ndio thamani halisi ya Club kubwa
 
Naona msimu huu kulingana na Yanga ilivyo chukua makombe na kujiongezea thamani, Yanga hawakutaka kukubali kuendelea na mkataba ule wa mwaka jana...
Cha ajabu Manara anawapoteza kujadili mkataba wa Simba.

GSM alichofanya ni kumzuia yule mama asipate umakamu maana alitaka kuwe kunatangazwa tenda ya jezi kitu ambacho gsm hataki
 
Nilichogundua watu wanapenda kuhoji lakini hawana muda wa kufuatilia vitu kabla ya kuhoji. hata unge gugo tu ungejua kama matangazo ya Mo na GSM kwenye jezi yana mikataba na yanalipiwa. Jitahidi kuficha ujinga
Ujinga,Wivu,Chuki vinachangia pakubwa sana yaani jitu Linaamshwa lifanye usafi kwa Shemeji yake hasira zake linakuja kuzimalizia uku mtandaoni....kwaio mtoa mada wewe unamahesabu makali kuliko hao Matajiri?? Au unahisi wanabandika matangazo bure??shenzitype kabsa

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cha ajabu Manara anawapoteza kujadili mkataba wa Simba.
Gsm alichofanya ni kumzuia yule mama asipate umakamu maana alitaka kuwe kunatangazwa tenda ya jezi kitu ambacho gsm hataki
Manara anajitutumua kujadili maswala ya mpira ili asisahaulike, anajikuta kila tukio halimpiti ili mradi tu naye aonekane kaongea

Kwenye last press alisema yeye bado ni Msemaji wa Yanga na ukumbuke kabla ya press Yanga walitoa tamko kuwa wanamuunga mkono

Lakini juzi imetolewa ratiba ya viongozi washiriki watao simamia project ya siku ya mwananchi kuanzia dakika ya mwanzo mpaka mwisho lakini Manara hayupo kwenye list

Kwanini wasimjulishe na wakati msimamo wao ulikuwa kutotambua hukumu?

Jana kaomba msamaha kwa waziri lakini pia aliskika kuwa yuko kwenye mchakato wa kufatilia nakala ya hukumu, ambayo awali alidai kuwahajapewa (yani alitaka watu wa mahakama waje kwake kumletea)

Jim Rohm alisema
There’s nothing worse than being stupid. Nothing. I mean, being broke is bad, but being stupid is awful. And what’s really bad is being broke and stupid.
 
mzee hayo ni mambo ya kimkataba mkuu aisee
Mikataba ya kinyonyaji uzuzu kabisa hii. Tena mtu analalama eti anapata hasara wakati amejaza matangazo yake kwenye jezi, anauza wachezaji, anapata get collection na anauza jezi, wakati sportpesa/m-bet, NBC, Azam wanaishia matangazo TU baaasi na wameridhika na faida wanapata
 
Mtoa mada kaongea swala la ukweli..
Kwamba Mo Xtra, Sabuni za Mo hutoa kiasi gani kwa mwaka? Je kwanini hakitangazwi?
 
Kama kampuni za Sportpesa, m-bet, Azam media, NBC na TBC zimetoa billion zile zote kwaajili ya kutangazwa na Simba na Yanga kwenye jezi zao je, mo na GSM kuweka matangazo yenu kwenye jezi za Simba na Yanga unalipa bei gani?

Mfano, m-bet kuweka tangazo lake moja TU kwenye jezi ya Simba amelipa Tsh 26billion, je mo kuweka matangazo 3 ya bidhaa zake kwenye jezi ya Simba alipaswa kulipa bei gani?

Kama sportpesa kalipa 12 b kuweka tangazo lake moja pale kwenye jezi ya Yanga je GSM kubandika nembo yake pale kifuani kwenye jezi za Yanga analipa bei gani? Wote hawa wanafaidika na matangazo.
Una hoja ya msingi sana
 
Nilichogundua watu wanapenda kuhoji lakini hawana muda wa kufuatilia vitu kabla ya kuhoji. hata unge gugo tu ungejua kama matangazo ya Mo na GSM kwenye jezi yana mikataba na yanalipiwa. Jitahidi kuficha ujinga
Zitangazwe kama vile m bet, sportpesa, Azam na NBC walivyotangaza na kutangazwa mbele ya camera. Kwanini unataka twende TUka Google kujua wanalipa bei gani? mbona wanasema wanapata hasara tyuuu?
 
Back
Top Bottom