Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Sasa sh. 50/= kwa kila jezi ni ongezeko gani hapo? Tatizo anayedhamini klabu ndiye anayeiongozaNaona msimu huu kulingana na Yanga ilivyo chukua makombe na kujiongezea thamani, Yanga hawakutaka kukubali kuendelea na mkataba ule wa mwaka jana. Wame force mpaka wameongezewa dau kutoka 1300 ambayo walikuwa wanachukua mwaka jana mpaka 1350
Hiyo ndio thamani halisi ya Club kubwa