Eti "aje Bakhresa" ndio alivyokwambia anataka kuja?Kama MO hapati faida aondoke aje TAJIRI BAKHERESA hana majivuno. HUYU mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiche SIMBA why jezi ya SIMBA IMEJAA MATANGAZO YAKE PAGE YA SIMBA KILA SIKU INATANGAZA BIDHAA ZAKE...
Subutu Bakhresa hana mpango wowote na SimbaKama MO hapati faida aondoke aje TAJIRI BAKHERESA hana majivuno. HUYU mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiche SIMBA why jezi ya SIMBA IMEJAA MATANGAZO YAKE PAGE YA SIMBA KILA SIKU INATANGAZA BIDHAA ZAKE...
Timu aliyotaka kuikodisha manji? Halafu unakuwa msahaulifu wewe Injinia mbona alishasema Simba na Yanga ni hasara tupu kwa hao wafadhili/wawekezaji?Haya matamko yake yangekuwa kwa wanayanga asingekaa huyu mhindi
Azam inamilikiwa na yusuphu yule wa Fei totoHakuna Sheria inayoruhusu mtu mmoja kumiliki timu 2 kwenye ligi moja. Ila muwe na shukrani mpira WA bongo haulipi anachotoa ni kingi tofauti na kinachorudi lkn hakati tamaa kutokana na mapenzi yake Kwa Simba,siku akiondoka kupata replacement siyo kazi rahisi