Mo ondoka aje Bakhresa, ni Mwanasimba mzuri tu

Mo ondoka aje Bakhresa, ni Mwanasimba mzuri tu

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Kama Mo hapati faida aondoke aje tajiri Bakhresa hana majivuno. Huyu Mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiache Simba? Why jezi ya Simba imejaa matangazo yake page ya simba kila siku inatangaza bidhaa zake.

Wanasimba tukiamua tutasusia hata hizo Mo energy zake. Kuna mtu kamshikia bunduki kuja simba.

Wanasimba haya masimango tumechoka.
 
Kama MO hapati faida aondoke aje TAJIRI BAKHERESA hana majivuno. HUYU mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiche SIMBA why jezi ya SIMBA IMEJAA MATANGAZO YAKE PAGE YA SIMBA KILA SIKU INATANGAZA BIDHAA ZAKE...
Eti "aje Bakhresa" ndio alivyokwambia anataka kuja?
 
Kama MO hapati faida aondoke aje TAJIRI BAKHERESA hana majivuno. HUYU mo anakera na kutulingishia sana utajiri wake kama anaona anapata hasara si aondoke zake aiche SIMBA why jezi ya SIMBA IMEJAA MATANGAZO YAKE PAGE YA SIMBA KILA SIKU INATANGAZA BIDHAA ZAKE...
Subutu Bakhresa hana mpango wowote na Simba
 
Kwani Mo kabla ya kuja simba Bakhresa si alikuwepo mbona hakuwekeza? Pesa sio matako ya kwamba kila mtu anazo, tujaribu kuwaheshimu walio ifanya simba kuwa na mafanikio iliyo nayo sasa.
 
Haya matamko yake yangekuwa kwa wanayanga asingekaa huyu mhindi
 
Muhindi wa Singida kasema amechoka kula hasara hapo simba tena analalamika anasema sio billion 20 tu bali katoa Billion 50 ambayo angeweza hata kununua private jet.

Inshort Mo anataka pesa yote inayotoka CAF ielekezwe kwenye account yake direct😆
89DBD118-8CF2-4441-90D3-46DFDA09A7BB.jpeg
 
Haya matamko yake yangekuwa kwa wanayanga asingekaa huyu mhindi
Timu aliyotaka kuikodisha manji? Halafu unakuwa msahaulifu wewe Injinia mbona alishasema Simba na Yanga ni hasara tupu kwa hao wafadhili/wawekezaji?
 
Hakuna Sheria inayoruhusu mtu mmoja kumiliki timu 2 kwenye ligi moja. Ila muwe na shukrani mpira WA bongo haulipi anachotoa ni kingi tofauti na kinachorudi lkn hakati tamaa kutokana na mapenzi yake Kwa Simba,siku akiondoka kupata replacement siyo kazi rahisi
 
Wabongo wanaishi kienyeji sana. Yaani mwekezaji ana adress evaluation ya biashara zake, anaonekana anawasimanga. Mlitaka akasemee wapi. Kwani ni uongo kwamba kuna sajili tumepigwa. Yupo wapi Okwa na Akpan na Qattara
 
Shida ya hizi timu. 2, simba na yanga uswahili mwingi, ndo maana wanaoziweza hizo timu ni watoto wa mjini pia,, ukienda kichwa kichwa utakua unalisha matumbo ya watu badala ya kuisaidia timu
 
Hakuna Sheria inayoruhusu mtu mmoja kumiliki timu 2 kwenye ligi moja. Ila muwe na shukrani mpira WA bongo haulipi anachotoa ni kingi tofauti na kinachorudi lkn hakati tamaa kutokana na mapenzi yake Kwa Simba,siku akiondoka kupata replacement siyo kazi rahisi
Azam inamilikiwa na yusuphu yule wa Fei toto

Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom