Mo pamoja na METL out, tutafute wawekezaji ambao wapi serious na biashara

Mo pamoja na METL out, tutafute wawekezaji ambao wapi serious na biashara

Ni muda sahihi wa kuwatumia hawa wahindi,kwani, hamna lolote wanalolifanya simba,isipokuwa kutupa presha tu

Kama hawa wahindi wataendelea kung'ang'ania Simba yetu, basi tuhesabu maumivu. Tatizo la simba ni mo na kampuni ya baba yake na sio.kitu kingine,hawa wakiondoka,waje wawekezaji ambao wapo serious na mpira basi tutafika mbali

Hii Simba ilikuwa inaonekna ni gari bovu tangu siku nyingi, haya matokeo ya leo hayajaja kwa bahati mbaya, na ninaomba mungu tupigwe zaidi ili hawa waindi waiachie timu, ichukuliwe na wafanyabiashara ambao wapo serious
Taja hao wafanya biashara wanaotaka
 
Taja hao wafanya biashara wanaotaka
As long as wadhamini wanamininika kila siku,ina maana kuwa watu wapo tayari kuweka mizigo...ebu wazigawanye hizo hisa kama serekali inavyotaka,kama ujaona wadhamini wakimiminika
 
Jibu ni dogo, wew akili huna,

Kwa Tz hakuna team yenye mapato makubwa kama Yanga, ila kwenye Budget yao walikuwa na deficit ya 6B,
Haya nambie unadhani deficit kwa Simba itakuwa ngapi ? Nani atafidia ?

Uwanjani hamuendi unless ni Simba Vs Yanga Vs Azam,

Kadi hamlipii, App hamsajili, Jersey mnanunua feki, then unasema klab inaendeshwa kwa faida [emoji23][emoji23]
Jezi za simba msimu uliopita,uliona namna zilivyouzwa kihuni,unategemea tusinunue jersey fake,...


Makusanyo ya yanga msimu uliopita yalikuwa kiasi gani?
 
Back
Top Bottom