Wewe nae umechanganyikiwa! MO anaweza kuwa na matatizo ila kusema MO hana msaada Simba huo ni usenge na miemko tu.
MO ameikuta Simba haiwezi hata kusajili mchezaji wa millioni 200!! Wachezaji walikuwa wanamaliza miezi miwili hata mishahala walikuwa hawapati, wachezaji walikuwa wanatapeliwa hadi pesa za usajili!
MO amekuja Simba ametengeneza mifumo ya kueleweka ya kiutendaji club ikaanza kusimama na kueleweka, kajenga uwanja wa mazoezi, timu unatumia vifaa vya kisasa, mishahala inatoka kwa wakati,wachezaji wanapata huduma zote,wanalipwa pesa za usajili, sasa mnataka afanye nini?
Kabla yake hao matajiri walikuwa wapi kuisaidia timu mpaka timu ilikuwa inakula kwa mama ntilie! Timu ilifikia mpaka inanyanganywa mipira kwa kukosa hela ya kulipa chapati!! Timu ilikuwa inazunguka vijijini kupiga ndondo ndio ipate nauli ya kusafiri!! Tuwe na shukrani na kumbukumbu, MO anafanya mengi na tunataka afanye yote yeye peke yake tu!! Nyie wengine hata kadi tu hamtaki kulipia!! Wewe umewahi kutoa hata laki moja kuchangia Simba?
Ulivyo mpumbavu unamlinganisha MO na hersi!! Hers ni muajiliwa wa gsm kila anachofanya anaripoti kwa mke wa gsm! Na hapo yanga kawekwa na gsm tu,mapato yote ya timu kuanzia jezi anauza gsm wenyewe,pesa za wadhamini anachukua gsm mwenyewe! Pesa za viingilio na pesa zote za yanga zipo chini ya gsm, kwa lugha nyepesi na kwa kifupi yanga wameuza timu kwa gsm.
tofauti kabisa na Simba ambako kuna group la wanachama ambao wana sauti na wana uongozi ila hawachangii chochote kwenye club ila hao ndio wanahujumu juhudi za muekezaji ila kwakuwa wewe ni mjinga huwezi kuona ilo.