Mo Salah atoa Pounds 3,000,000 za Misri ($156,664) kujenga upya Kanisa lililoungua Giza

Egypt kuna Masikini na mafukara wengi kuliko makanisa.
Angeelekeza nguvu huko
 
Egypt kuna Masikini na mafukara wengi kuliko makanisa.
Angeelekeza nguvu huko
Kuna nchi yoyote hapa duniani ina makanisa mengi kuliko maskini? Halafu mkuu tafuta hela hili usiwapangie wenye nazo jinsi ya kutumia,maskini huwa tunaona kusaidiwa ni haki yetu kama wewe unavyoamini lakini hili suala lipo ndani ya imani ya mtu na si vyema sana kumpangia..Salah amesaidia zaidi ya familia 450 nchini kwao inatosha mpaka hapa
 
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787]
 
kulur allahu tatu u
Sasa hata kama ndio "open minded" ndio ushindwe kuandika "Qul Huwa Allahu" kweli!? Kazi ipo adriz Kisai Njooni mumuone muigizaji.
Mzee mimi ni muislamu lakini ni open minded usijishughulishe hata kubishana na mimi,niiyoyaongea kuhusu Misri nimeyaona kw mwaka mzima nilioishi huko sijahadithiwa
 
Sasa hata kama ndio "open minded" ndio ushindwe kuandika "Qul Huwa Allahu" kweli!? Kazi ipo adriz Kisai Njooni mumuone muigizaji.
😂😂😂mnakaza fuvu kwa vitu vidgo sana no wonder badala ya kumjibu Salma Rushdie kinovel chake kwa kupangua hoja zake sisi Tunataka kumkata kichwa..Niliyekuwa namuelekeza ni mgalatia kulikuwa hakuna haja ya kumwandikia kwa lugha ngumu kama hiyo zaid ya kuandika kimazoea hili atambue haraka,hii ni sawa na kuandika Alamdulilai hili ieleweke mapma kuliko kukazana mafuvu wkt unamuelekeza mgalatia
 
Misri wakristo wapo wengi sana, lakin katika nchi za kiarabu lebanon ndio inaongoza kuwa na wakristo wengi ambao wamezidi kuliko dini nyingine mpaka rais sharti lazima awe mkristo tu
 
Huyo halafu kwao hela zipo hachezeu mpira shida, mwenyewe anakwambia bila mpira angekuwa anacheza playstation tu ndani halafu jioni anaenda kukagua visima vya mafuta vya baba yake
Acha unafiki salah ametokea maisha ya kawaida tu
 
W
Sasa hata kama ndio "open minded" ndio ushindwe kuandika "Qul Huwa Allahu" kweli!? Kazi ipo adriz Kisai Njooni mumuone muigizaji.
Wakristo watu wajinga sana, yaani huwa hawaoni aibu kuigiza kwamba wao ni Waislamu, hawa ndiyo wamejaa sana huko mitandaoni. Badala wajikite katika kuyahakiki maandiko yao kutwa wanaigiza igiza.
 
Mohamed morsi akitaka kuleta sharia misri na magaida wenzake wa M.brotherhood

Akina Al-sisi wakaipiga Pini haraka sana.
 
Hapa nimekutajia nchi nyingi tu,wewe hujatembea,tembea uone,nimekutajia nchi kibao hapo,zeje waislamu wengi,na wakristo wako huru.
 
W
Wakristo watu wajinga sana, yaani huwa hawaoni aibu kuigiza kwamba wao ni Waislamu, hawa ndiyo wamejaa sana huko mitandaoni. Badala wajikite katika kuyahakiki maandiko yao kutwa wanaigiza igiza.
Yaani akitokea muislamu ambaye haishi kwa kumezeshwa vitu na kukaririshwa akawaambia hiki sio sahihi mnamkimbizia kwetu Wakristo. Mkuu Mungu alipokuumba akaweka hicho kitu juu ya shingo (kichwa) akainstall na brain maana yake uwe mtu wa kufikiri. Focus kwenye kutenda yaliyo mema, uzuri ukitenda jema unajua na ukitenda baya unajua. Haya mambo ya maandiko, dini hayatakusaidia kitu kama moyo wako ni mchafu.
 
Mo Salah na Sadio Mane ni waislam wa kupigiwa mfano.
 
Sababu Wakristo wajinga sana, hakuna muislamu wa sampuli hii.

Kwahiyo hii tabia muiache ya kujifanya Waislamu, humu naona imekithiri sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…