Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,072
- 2,384
FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje?
Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa. Naye anasherehekea Christmas tena kila mwaka. Je ameamua kuudhi tu watu kwa makusudi? Ingawa wanamtetea kuwa ni haki yake umaarufu ni wake hakuna aliyemsaidia kufika hapo so pia asitumike kiimani.
Lakini mimi binafsi sioni kama wanavyofanya ni sawa. Hiyo si sawa kabisa hawakupaswa kuonesha anything about christmas. Si sawa na inaudhi sana kwa hayo mambo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia waache hiyo tabia. Si uislamu huo.