Mo Salah na C. Ronaldo wanatuchanganya sana. Nashindwa kuwaelewa.

Usiwe mbishi. FaizaFoxy mara kadhaa ameandika nyuzi humu jinsi CR 7 alivyosilimu. Na tukafanya na sherehe. Wewe upo Tanzania unambishia faiza yupo huko kwa waarabu? Acha ubishi wa kijinga wewe
Kwa hiyo akiwa kwa waarabu ndio atakacho kiandika humu basi ni kweli 🤔 hayo ndio madhara ya kutumia kichwa kama kontena la kuhifadhia mate badala ya akili 🚮🚮
 
Watoto wa mnyaazi "mungu" kwenye vitu kama hivi ndio hua mnajionesha ni kiasi gani vichwa vyenu ni vitupu kabisa, kwa hiyo wewe mswahili mmoja uliekaririshwa kiarabu unajikuta unaijua dini kuliko Mo Salah 🤔 alafu Ronaldo wewe ndio ulimsilimisha au 🤔 kichwa kisicho na akili ni mzigo kwa shingo 🚮🚮
Soka si ni haram Kwa waislam!?? Si wachezaji wote waislamu waache kucheza Kwanza kabla ya kumlaumu Salah!?? Waache kucheza mchezo ambao ni haram Kwa mnyaazi....
Na wote Idd hawavaagi hata kibarakashehee sembuse Kanzu 😂😂😂View attachment 3186059

FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje?

Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa. Naye anasherehekea Christmas tena kila mwaka. Je ameamua kuudhi tu watu kwa makusudi? Ingawa wanamtetea kuwa ni haki yake umaarufu ni wake hakuna aliyemsaidia kufika hapo so pia asitumike kiimani.

Lakini mimi binafsi sioni kama wanavyofanya ni sawa. Hiyo si sawa kabisa hawakupaswa kuonesha anything about christmas. Si sawa na inaudhi sana kwa hayo mambo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia waache hiyo tabia. Si uislamu huo.

View attachment 3186017View attachment 3186018

View: https://youtu.be/pMECi3OLac0
 
Mbona mm nasheherekea Idd, wkt sio musilim.
Kumbe nakosea?

Mm sichagui, najua wote ni wamoja.
Uwe mpagani ww ndugu yangu
Uwe mkristo wewe ndugu yangu
Uwe mwisilamu wewe ndugu yangu

HIZI DINI TULILETEWA NA WEUPE
 
FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje?

Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa. Naye anasherehekea Christmas tena kila mwaka. Je ameamua kuudhi tu watu kwa makusudi? Ingawa wanamtetea kuwa ni haki yake umaarufu ni wake hakuna aliyemsaidia kufika hapo so pia asitumike kiimani.

Lakini mimi binafsi sioni kama wanavyofanya ni sawa. Hiyo si sawa kabisa hawakupaswa kuonesha anything about christmas. Si sawa na inaudhi sana kwa hayo mambo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia waache hiyo tabia. Si uislamu huo.

View attachment 3186017View attachment 3186018
Hawaendeshwi na hisia za mtu.
Uwanjani huangaliwa na watu wa dini zote. Pesa zao. Izimetokana na watu wa dini zote.
Timu zao zina watu wa dini zote hadi mashoga.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo.
Hao ni binadamu waliojitambua, hawafuati mkumbo ea mtu.
Wewe ukiwa na dini fulani. Mtu mwingine hakuongezei wala kukupunguzia chochote katika dini yako.
 
Wanajitambua hawana akili za kushikiwa na watu wengine.
 
Who are you labda?
Acha kupangia watu maisha, acha kulazimisha watu wawe kama wewe, we ni nani duniani hapa labda?
Kwanza mpira si ni dhambi kwenu mbona huongei?
 
FaizaFoxy alishaandika akifurahi sana kuwa CR. Kasilimu. Several times tumekuwa tukifurahia kuwa tumepata bonge la mtu katika uislamu. Lakini namwona bado anasheherekea Christmas na familia yake. Hii inakuaje? Mi nashindwa kuelewa kabisa. Hii imekaaje kaaje?

Huyu Mo. Salah ni muislamu kabisa. Naye anasherehekea Christmas tena kila mwaka. Je ameamua kuudhi tu watu kwa makusudi? Ingawa wanamtetea kuwa ni haki yake umaarufu ni wake hakuna aliyemsaidia kufika hapo so pia asitumike kiimani.

Lakini mimi binafsi sioni kama wanavyofanya ni sawa. Hiyo si sawa kabisa hawakupaswa kuonesha anything about christmas. Si sawa na inaudhi sana kwa hayo mambo. Nadhani kuna haja ya kuwaambia waache hiyo tabia. Si uislamu huo.

View attachment 3186017View attachment 3186018
Believers with big minds..!!!
 
Back
Top Bottom