Mo Salah na C. Ronaldo wanatuchanganya sana. Nashindwa kuwaelewa.

Usiwe mbishi. FaizaFoxy mara kadhaa ameandika nyuzi humu jinsi CR 7 alivyosilimu. Na tukafanya na sherehe. Wewe upo Tanzania unambishia faiza yupo huko kwa waarabu? Acha ubishi wa kijinga wewe
Kwa hiyo akiwa kwa waarabu ndio atakacho kiandika humu basi ni kweli ๐Ÿค” hayo ndio madhara ya kutumia kichwa kama kontena la kuhifadhia mate badala ya akili ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Soka si ni haram Kwa waislam!?? Si wachezaji wote waislamu waache kucheza Kwanza kabla ya kumlaumu Salah!?? Waache kucheza mchezo ambao ni haram Kwa mnyaazi....
Na wote Idd hawavaagi hata kibarakashehee sembuse Kanzu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚View attachment 3186059





View: https://youtu.be/pMECi3OLac0
 
Mbona mm nasheherekea Idd, wkt sio musilim.
Kumbe nakosea?

Mm sichagui, najua wote ni wamoja.
Uwe mpagani ww ndugu yangu
Uwe mkristo wewe ndugu yangu
Uwe mwisilamu wewe ndugu yangu

HIZI DINI TULILETEWA NA WEUPE
 
Hawaendeshwi na hisia za mtu.
Uwanjani huangaliwa na watu wa dini zote. Pesa zao. Izimetokana na watu wa dini zote.
Timu zao zina watu wa dini zote hadi mashoga.
Kila mtu ana uhuru wa kuishi atakavyo.
Hao ni binadamu waliojitambua, hawafuati mkumbo ea mtu.
Wewe ukiwa na dini fulani. Mtu mwingine hakuongezei wala kukupunguzia chochote katika dini yako.
 
Wanajitambua hawana akili za kushikiwa na watu wengine.
 
Who are you labda?
Acha kupangia watu maisha, acha kulazimisha watu wawe kama wewe, we ni nani duniani hapa labda?
Kwanza mpira si ni dhambi kwenu mbona huongei?
 
Believers with big minds..!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ