Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

Kazi kwenu

kIongOzI Wa BaaDae
 
Hvi ule uwanja wa Jangwani maji yamekauka!?? Shadeeya

Kuna timu zina shida jamani[emoji3][emoji3]

The only thing to fear is fear itself
 
Huu uwanja ungeitwa tu jina la
"MO Arena"
Ingependeza sana, sio tu kwa kumpa heshima muwekezaji mwenye mapenzi na Simba, bali pia jina hili ni fupi na linapendeza kutamkwa.
Timu nyingi duniani ukiacha azam, majina ya viwanja vyake hayafanani na jina la timu husika.
Neno "MO Simba Arena" halivutii sana.
Jamani twendeni "MO Arena" it is [emoji106] bumbum

Sent using Jamii Forums mobile app
MO Arena is the best
 
Simba kwa kuwa ana viwanja viwili vya mazoez ivi kimoja hatuwezi kuwakodishia gongowazi
 
Back
Top Bottom