Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

Nitakupeleka sikumoja ukauone uwanja Shadeeya. Simba hainaga longolongo. Nyie sasa ndio mnaingizwa chaka na hao wazungu feki. Eti "mshauri wa La Liga"🤣🤣🤣. Umesikia wapi hicho cheo?[emoji3][emoji3][emoji3]

Yeye kakariri La Liga tu[emoji3]”ayo maneno mengine hayamuhusu[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Swali gani sasa hili Mtani wakati mie naishi Nakapanya? [emoji41][emoji41]

Cha ajabu nyie ndio mnayaona haya yote Mtani. Lol.

Wacha ituuue tu.
Kwani kwenye App yenu hamjadili masuala ya uwanja wenu kongwe mtani!??

Hahaha namkifanya masikhara itawaua kweli mwaka huu kwa kihoro.

Ila umesikia na sie tushapata App kimya bila kelele [emoji848]
 
Hvi ule uwanja wa Jangwani maji yamekauka!?? Shadeeya

Kuna timu zina shida jamani[emoji3][emoji3]

The only thing to fear is fear itself
Kuna siku niliwapeleka wanangu viwanja vya Jangwani kwenye mkutano wa injili wa R. Bonnke,basi watoto kwa udadisi wao wakaenda kuangalia timu ikifanya mazoezi,walichoniuliza baadaye ni kuwa ule uwanja ni wa jeshi,mbona una matope!
 
An arena is an enclosed area, often circular or oval-shaped, designed to showcase theatre, musical performances, or sporting events. It is composed of a large open space surrounded on most or all sides by tiered seating for spectators, and may be covered by a roof. Wikipedia
Mikia mnakwama wapi?mngeita MO training grounds ..jina litakuwa limetungwa na yule mwenye shutuma na Kigogo
 
Kuna siku niliwapeleka wanangu viwanja vya Jangwani kwenye mkutano wa injili wa R. Bonnke,basi watoto kwa udadisi wao wakaenda kuangalia timu ikifanya mazoezi,walichoniuliza baadaye ni kuwa ule uwanja ni wa jeshi,mbona una matope!
Kumbe hadi mlokole feki unapenda timu ya wachawi kajifunze tena asili ya mikia
 
okwibobansunzu unatukatili kwa kutotuletea ile story ya mzee tozi na msemaji
 
Back
Top Bottom