njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
aliboa pale akalazimisha hadi wachezaji wapige makofi maana nao walikuwa wamekausha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mo jana alikua highMo, mm kaniudhi kiukweli japo sina chama. Ila nimegundua kuinadi CCM/JPM nikazi sana. Maana ilimbidi abwie Tambuu, Mirungi ndio apate ujasili. Au ww hukumuona alivyokuwa ?!?!
Si Simba wala Yanga.I'm sure si kwamba wanapenda ila bila kumuabudu huyo jamaa damu itachuruzika
huyu mwamwedi kama ameghafilika hivi since amekumbushwa lile swala la mktaba kumtaka aweke billion 20 kwenye account ya Simba.Mo nna mashaka nae sana ivi ni mwenzetu kweli uyo?
Mjumbe huyoOhoo...😂😂
Umeambukizwa ujinga na mwenyekiti wako wa ccm ambaye pamoja na kuwa phD lakini bado ana behave like a layman yaani hajui ni wapi anatakiwa asimame Kama mkuu wa nchi na rais na wapi asimame Kama mwenyekiti wa ccm,pole sana I am so sorry for you dudeUnataka kuwa na Sauti na hauna pesa?
Ndo ashafanya ukitaka kufa, au lia.
Nyie wabongo kila kitu mnalalamika, kama wewe moyoni mwako una chama chako, mtu akikitaja chama kingine wewe inakubadilisha nini?
Utabaki kuwa vile vile tu hata akitaje Mara mia.
Kuna tofauti ya serikali,ccm na magufuli mkuu.angeishia kumtambulisha mgeni rasmi na cheo chake ingetoshaMo sio mjinga anajua ili afanye biashara zake vizuri lazima awe karibu na serikali, wakina Rostam na Lowassa wamesalimu amri ili kulinda maslahi yao
Sasa mbona yeye anawapangia mashabiki cha kufanyaSimba kwasasa mmiliki ni MO kama hutaki amia Gwambina. Huwezi kumpangia Mwenye timu nini cha kufanya.
Mkuu acha ujinga, klabu gani katika dunia hii ipo kwenye nchi isiyo na serikali Wala chama kinachoongoza hiyo serikali,huu ujinga peleka kwa unprofessional wenzio wa huko lumumba ukianzia na mwenyekiti wako1. Simba ni taasisi ndani ya Taifa la Tanzania linaloongozwa na RAIS MAGU,
2. CCM ni chama tawala (ndio serikali) inayoongoza Taifa la Tanzania.
HIVYO, Simba na Mo hawawez kuepuka CCM na rais MAGU. Labda akili yako iwe haiko sawa haswa mambo yalivyo ktk Bara la Africa
Sent from my SM-N910F using JamiiForums mobile app
Anazingua sanahuyu mwamwedi kama ameghafilika hivi since amekumbushwa lile swala la mktaba kumtaka aweke billion 20 kwenye account ya Simba.
Nilichosema Mo anajua nini anafanyaKuna tofauti ya serikali,ccm na magufuli mkuu.angeishia kumtambulisha mgeni rasmi na cheo chake ingetosha
Mkuu moja ya vitu vilivyowekezwa kwa watu wa nchi hii ni umaskini ujinga na kujikweza, hatukatai kutawaliwa tuwe huru akili zetu.Mkuu acha ujinga,klabu gani katika dunia hii ipo kwenye nchi isiyo na serikali Wala chama kinachoongoza hiyo serikali,huu ujinga peleka kwa unprofessional wenzio wa huko lumumba ukianzia na mwenyekiti wako
Walimvika kanga moko?Huyu jamaa toka amevalishwa khanga akili zimemruka
tena ikiwa imelowa ndembendembe.Walimvika kanga moko?