Mo usichanganye Simba na CCM wala Magufuli

2015 makao makuu ya utopolo jangwani kulikuwa na maposters ya ccm unajua kinachoendelea huko dodoma?
 
Kama hutaki kaanzishe timu yako mkuu hii tumemuuzia Moo. Wacha afanye roho yake inapenda mkuu.
 
Kumbe 20b ni geresha?
 
Yanga na Simba ni tarehe 18/10 siku 10 kabla ya uchaguzi, hayo mengine yaache
 
Fact
 
MO ndio aache ujinga, Pale Uwanjani wanaingia Mashabiki wa Vyama mbalimbali ambao pia ni Simba. Ajue tu kua Simba sio ya CCM. Tena kwa wengine tulioko Simba tunaichuklia Yanga kama CCM sababu ya mfanano wa Jezi. Asituchanganyie habari
Lakini si mmempa timu na vyote vilivyomo. Kwa hiyo ana uhuru wa kufanya chochote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…