Mobile 4n ni chanzo cha kutoelewana

Mobile 4n ni chanzo cha kutoelewana

mambo ya kukosea ktk call/text ni ya kawaida, basi ije itokee mko pa1 na huyo mke wako then litokee hilo... utaliona sakata lake. ajaribu kumuachisha tabia hiyo awezavyo

Kama umemjungea mtu hali ya kukuamini hata ikitokea ukawa unaongea na msichana hatakujia juu....anaweza tu akauliza nani huyo na kuridhishwa na jibu lako.
 
Kama umemjungea mtu hali ya kukuamini hata ikitokea ukawa unaongea na msichana hatakujia juu....anaweza tu akauliza nani huyo na kuridhishwa na jibu lako.

Lizzy usemayo ni ya kweli. lkn wengi kati ya wasiyowaamini wenza wao ni wale ambao hata wao siyo waaminifu. then wanafuata hao wasiyoaminiwa kwa kutojiwekea mazingira ya kuaminiwa.
 
Wana JF nimekuja na mada nyingine kuhusu hizi cm zetu za mikononi, binafs nataman niachane na cm kwn ndio chanzo cha mgongano na my wife! Mke wangu kila nikirud kutoka kazn lazm akague cm zangu je hii ni sawa?kina dada hata ninyi ndivyo mnavyofanya kw waume zen au maboyfriend wenu?msaada pls tuwekane wazi kwa hili.

muda mrefu kabla ya kuwa memba wa jf nilikumbana na sredi hii "simu ya mkononi ktk mapenzi". Jaribu kuitafuta ili kuongezea ushauri utakaoupata
 
Back
Top Bottom