Mobius ni gari inayoundiwa Kenya, ni Moto

Mzee ondoa upumbavu wako hapa. Kama issue huijui kaa kimya. Shenztype
Wewe pundamilia unataka kupatiwa detailed information lakini uko lazy hutaki kufanya research mwenyewe. Typical Mlazy.
 

Daaawa imeingia
 
Wewe pundamilia unataka kupatiwa detailed information lakini uko lazy hutaki kufanya research mwenyewe. Typical Mlazy.
Kijana endelea na Kazi zako za u Cashier, kuhesabu pesa za matajiri. Issue za engineering tuachie sisi. Nimekuuliza maswali machache tu umeanza kuropoka.

Tulia dawa iingie vizuri.
 
Aseee....
Your browser is not able to display this video.
 
Wakenya NJIA ya mwongo ni fupi..mobius ni Copy ya Chinese car Baic BJ40. Gari ambayo ya Nigeria inauzwa

 
Hata taahira atakwambia hazifanani! Hujui lolote kuhusu Mobius, unatafuta kiki tu hapa! [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Tunakujua!

Hivi nani mmiliki wa hii bobiasi?
 
Opening ceremony of the Kip keino classic gold series with Mobius vehicles ferrying Kenyan athletes in the stadiumπŸ‡°πŸ‡ͺ πŸ”₯πŸ”₯ πŸ”₯



 
Hivi nani mmiliki wa Air Excel na Dangote Industries Tanzania na zingine nyingi tu? [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nakuzoom kwa mbali! [emoji16]

Mkuu kwani kuna ubaya kuuliza [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…