Model wa Tanzania aishiye SA, Daxx aja na soksi zake za viatu!

Kwakweli hazitauzwa bei hyo kuanzia twenty labda kuendelea
ndo wanapofeli wabongo...!
jokate viatu alikua anauza kuanzia elf8 hadi 15...

wakati shabiki zao wengi hali zao za chini!

Wema lipstick 15000 sijui wakati team wema wengi ni wa uswazi elf 15 msingi wa sambusa....!!

hawanaga marketing manager wazuri hawa watu!
 
Najiuliza tuu, hivi hawa mamodo ni lazima kutinda nyusi au....... Ndomaana huwa wanasingiziwa wanaliwa Mmmh ya ngoswe nimuachie ngoswee
 
Zimeshushwa lipstic mpk elf 7 sasa hiv
 
Mbona soksi zenyewe kama za kuchezea mpira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…