Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
ishakula kwake!!Hahahhh elf 50
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ishakula kwake!!Hahahhh elf 50
nusra nijijojoe hapa mtoto huyu? ivi anakunya kweli au anafyatua kama tembo
Hahahhhh nimetania banaishakula kwake!!
najua umetania Ila unafkri zitauzwa elf mbili?Hahahhhh nimetania bana
Kwakweli hazitauzwa bei hyo kuanzia twenty labda kuendeleanajua umetania Ila unafkri zitauzwa elf mbili?
ndo wanapofeli wabongo...!Kwakweli hazitauzwa bei hyo kuanzia twenty labda kuendelea
Kuna soksi za dushe..cjui ndo akili za kuchelew kuelewa au vp? naben tofaut ya soks za viat na soks za miguu ili nielewe kama nyie jaman
Zimeshushwa lipstic mpk elf 7 sasa hivndo wanapofeli wabongo...!
jokate viatu alikua anauza kuanzia elf8 hadi 15...
wakati shabiki zao wengi hali zao za chini!
Wema lipstick 15000 sijui wakati team wema wengi ni wa uswazi elf 15 msingi wa sambusa....!!
hawanaga marketing manager wazuri hawa watu!
Zimeshushwa lipstic mpk elf 7 sasa hiv
HahahhhAshuke tena hadi elf 2!!
Eeehhh!!!Hahahhh
Shilingi ngapi?maana wabongo bwana kwenye price allocation tumefeli!!
watavaa wenyewe...!!!Utasikia ni 50k kwa pair
Mkuu zipo ambazo ni fupi!Mbona soksi zenyewe kama za kuchezea mpira
Mkuu kumbe wewe HOD , longtime sana kakaNamwelewa sana huyo mtoto.