EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
- Thread starter
- #21
Wali aliapa hatakaa arudi Kule 🤣🤣🤣🤣🤣🤣ha ha ha .najiskia burudaaaani kupata taarifa Kama hii.
Katoto karembo eti kanaenda kupigana na wanaume wa kazi,ambao hata USA na NATO. wameamua kukaa mbali . Wali tu mwenyewe alisema hata wampe billions of dollars haendi kupigana na Russia,kenyewe kakajifanya kanunda. Haya Sasa pro NATO na ma gay wote kachukueni maiti huko mzike !! another man down ...ova !!