Karibu kwenye hii link ubadilishe mwenyewe.Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"
๐๐๐๐๐๐Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"
Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala
Naona Sasa Watanganyika tumejisahau
Taifa letu la Tanganyika limekufa
Tunatawaliwa na wageni
Rasimali za Tanganyika zinapotea
Nitakuwa hapa kutoa elimu muhimu kuhusu Taifa letu la Tanganyika
Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"
Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala
Naona Sasa Watanganyika tumejisahau
Taifa letu la Tanganyika limekufa
Tunatawaliwa na wageni
Rasimali za Tanganyika zinapotea
Nitakuwa hapa kutoa elimu muhimu kuhusu Taifa letu la Tanganyika
kachange gia hewaniSasa mbona umeishia kujiita Mnyambo wa Kyerwa na sio Mtanganyika?
Kunani tena?๐๐๐๐๐๐
Ngara ishirini na tatu๐.๐ ๐๐คฃ๐Ndo nani huyo?
Tafuta ID nzuri mkuu.Huko tushahama
Safi sana.Naleta ombi langu kwenu nataka kubadili utambulisho wangu hapa jamii forums kutoka Ngara23 kuwa " Mtanganyika"
Nahitaji kuanzisha harakati za Kufufua utambulisho wa Taifa la Tanganyika, historia yake, utawala
Naona Sasa Watanganyika tumejisahau
Taifa letu la Tanganyika limekufa
Tunatawaliwa na wageni
Rasimali za Tanganyika zinapotea
Nitakuwa hapa kutoa elimu muhimu kuhusu Taifa letu la Tanganyika
Hutaki kesi masta au sio?Karibu kwenye hii link ubadilishe mwenyewe.