Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

Moderators wa JF rudisheni uzi wangu niloshauri Samia Suluhu Azuiwe kuuza Sehemu ya Akiba ya Dhahabu ya Taifa

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Ni Lazima Watanzania Wajue, nini maana ya HAZINA ya Dhahabu, umuhimu wake hasa katika Usalama wa NCHI kwa kuzingatia SIASA na Mabadiliko ya Kisera ya Dunia.

HAZINA ya Dhahabu, haitakiwi kamwe Kuuzwa kwa ajili ya Miundo mbinu, Huu ni ZAIDI YA USENGEE !!

Kwa akili ya Samia na Genge lake maana yake asipozuiwa sasa , Anaenda Kuikausha TANGANYIKA.


HAZINA YA DHAHABU, ni Rehani ya NCHI !.
 
Kinachoshangaza ni kwamba JF imefungiwa hapa Tanzania na huyo huyo Samia. Lakini bado JF wanafuta nyuzi za zinazomnanga Samia kana kwamba JF inafanya kazi kihalali hapa Tanzania.
 
Back
Top Bottom