Modern Slavery watu zaidi ya milioni 40 ni wahanga

Analogia Malenga

Platinum Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,292
Reaction score
10,842
Modern Slavery ambayo inajumuisha Forced Labour na Cheap labour.

Umoja wa Mataifa (UN) umeandika katika ukurasa wake kuwa suala la utumwa sio suala la historia kwa kuwa utumwa unaendelea hadi sasa.

Kwa takwimu walizotoa watu zaidi ya milioni 40 ni wahanga wa utumwa wa kisasa ambapo pia mtoto mmoja kati ya wanne ni mhanga pia wa utumwa wa kisasa.

Ikiwa leo ni Siku ya Kukomesha Utumwa wa Kisasa wametoa wito kwa jamii kupaza sauti kwa watu ambao wananyanyasika kwa utumwa.

Shirika la Kimataifa la Wafanyakazi (ILO) limetaja kuwa kazi za kulazimisha (Forced labor) na mishahara midogo kuwa sehemu ya utumwa wa kisasa (Modern Slavery)
 
Utumwa mbaya ni wa akili
Ambao wao mabeberu ndio wameukumbatia na kutudhalilisha nao
Waache mara moja
 
UNESCO nao wanasemaje juu ya utumwa wa fikra, ambao unaenea kwa kasi kama pepo za kusi?
 
Wanajifanya kusahau utumwa wa kidemokrasia, kutaka kutuchagulia viongozi. Kama wanawapenda wakae nao hukohuko wanywe wine
 
Financial freedom huenda sambamba na uhuru wa kweli!
 
Utumwa hautaisha kamwe. Kwenye soka kuna utumwa uliohalalishwa watu wanauzwa na kununuliwa,kila mtu ana bei yake.
 
Modern Slavery ambayo inajumuisha Forced Labour na Cheap labour.

Umoja wa Mataifa (UN) umeandika katika ukurasa wake kuwa suala la utumwa sio suala la historia kwa kuwa utumwa unaendelea hadi sasa.

Kwa takwimu walizotoa watu zaidi ya milioni 40 ni wahanga wa utumwa wa kisasa ambapo pia mtoto mmoja kati ya wanne ni mhanga pia wa utumwa wa kisasa.

Ikiwa leo ni Siku ya Kukomesha Utumwa wa Kisasa wametoa wito kwa jamii kupaza sauti kwa watu ambao wananyanyasika kwa utumwa.

Shirika la Kimataifa la Wafanyakazi (ILO) limetaja kuwa kazi za kulazimisha (Forced labor) na mishahara midogo kuwa sehemu ya utumwa wa kisasa (Modern Slavery)
Izi ni zama za mwafirica kuvikwa u modern slave
 
Back
Top Bottom