Modernization" of Girls

Halafu nyieeeeeeeee!
Mnasikia raha tu.

ukiwaon wamekuja kwa swaga izi bas ujue JANA WAMELAZWA MZUNGU WA 4 ..bas hasira zooote znakuja kwa wadada wa jf...yaone vle sjui yakoje....shost nakwambia naanza twshen ya NGUMI KWA FRANCIS CHEKA ..then naanza kuwatafuta awa akina sokomoko na wenzake yan ntawadunda acha tu....ntawakomesha...una namba za francis cheka apo????ntumie basi
 
long live hisia za mwenyekiti!
 
kwendeni zenu ........waone kwanza
 
utaenda kwa francis cheka,tabasamu hadi lia
 
mwizi karudisha jeans yetu kwan?? ennh aya byeeee
 
t 247 axm
 
utaenda kwa francis cheka,tabasamu hadi lia

wewew ndo utakuwa wa kwanza nakwambia we kenua tu njino izo muda si muda ntazitoa kwa kikwenz kimoja....kaka fransis cheka namwaminia nakwambia wewe subr koz yangu ianze..maj utaita mma..!!!!!
 
Modernization of boys
2000: tufanye kamoja nimechoka sana leo
2010: ngoja nipumzike kazi zilikuwa nyingi mke wangu
2015: nguvu zote kwishneee.
Wapi maviagra.
Nitarudi tuangalie ya below 2000.
 
wewew ndo utakuwa wa kwanza nakwambia we kenua tu njino izo muda si muda ntazitoa kwa kikwenz kimoja....kaka fransis cheka namwaminia nakwambia wewe subr koz yangu ianze..maj utaita mma..!!!!!

wanawake na maendeleo!
 
wewew ndo utakuwa wa kwanza nakwambia we kenua tu njino izo muda si muda ntazitoa kwa kikwenz kimoja....kaka fransis cheka namwaminia nakwambia wewe subr koz yangu ianze..maj utaita mma..!!!!!

Unaamanisha ngumi zipi anazoenda kukufndisha Cheka? Ndondi au ndindo? kama ndindo mie nataka niwe wa kwanza kuomba game na wewe
 
Unaamanisha ngumi zipi anazoenda kukufndisha Cheka? Ndondi au ndindo? kama ndindo mie nataka niwe wa kwanza kuomba game na wewe

WE SUBIRI U WL C..AFTA HUSHY COOL U WL FOLLOW ..I WL destroy ya face....
 
Modernization of boys
2000: tufanye kamoja nimechoka sana leo
2010: ngoja nipumzike kazi zilikuwa nyingi mke wangu
2015: nguvu zote kwishneee.
Wapi maviagra.

Nitarudi tuangalie ya below 2000.

Tatizo lenu mnapenda mapedeshee na vibabu shugadadies ndio maana mnaleta analysis hizo ombeni game na masela muone shughuli........
 
Modernization of boys
2000: tufanye kamoja nimechoka sana leo
2010: ngoja nipumzike kazi zilikuwa nyingi mke wangu
2015: nguvu zote kwishneee.
Wapi maviagra.
Nitarudi tuangalie ya below 2000.

hahah hahahaaaa jaman wewe kwa kunipa rrrahaa ahh stak mie...
ahh mwez u jogoo hatak kuwika sjui kwanini...sjui joto la dar ili....
nipepeee kdg basi nisimame dede...hahah hahaah jaman umenipa raha kdg....michelee na AD sjui awajaamka bado....ahh wakuje apa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…