Modric Hajatuachia deni; Hongera kwa Morocco,haijawahi kutokea Taifa kama wao katika ukanda wa CAF

Modric Hajatuachia deni; Hongera kwa Morocco,haijawahi kutokea Taifa kama wao katika ukanda wa CAF

Mzungu alikuomba radhi lini hukumsikia raisi wa FIFA siku ile alisema wazungu wanatakiwa wawaombe radhi waafrika kwa waliyowafanyia uliwasikia waliomba hii vita iligeuzwa kati ya Christian na Islam sikatai inawezekana Morocco walikosea ila sidhani kama kweli ilipaswa kuwa issue kiasi kile kwani alivyosema haibadilishi uhalisia kwamba wao ni waafrika ni ujinga tu na ujuha wa mtu mweusi aliyoyafanya Argentina kwa waafrika hakutakiwa kuwa na shabiki hata mmoja kutoka Africa lakini kuna majuha kibao wanashabikia Argentina na team za wazungu ujinga afrika kwa ujinga tulitakiwa tupigwe bomu wote tufe wazaliwe wengine wenye akili hiki kizazi cha sasa kishapoteza direction.
Tuna ujinga mwingi sana.Kazi yetu nikuangaika na kushabikia ya wengine wakati yetu hatuyawezi.Kama sasa hivi ni ushabiki wa argentina na ufaransa mara messi mara ronaldo tunasahau kua hata timu yetu ya taifa ilipaswa kua kwenye hayo mashindano.Tulipaswa tuwe tunawaimba kina samata badala yakubishana hadi kutukanana kwa mafanikio ya watu wengine na nchi zao ambazo wala hawatujui.Tunakua na uchungu na mafanikio au kushindwa kwa watu wengine kuliko vya kwetu.
 
Mbona tunalazimishana timu ya kupenda?, mimi ninaitakia safari njema France, Croatia na Simba.
Wewe endelea na waarabu wako na waislamu wa Morocco kuwapongeza maana hilo ndo kundi pekee wanalolitambua Wamorocco
Wewe hata historia ya timu yako ya simba huijui. Unafahamu walioanzisha klabu ya simba? Au upo upo tu.
 
Mzungu alikuomba radhi lini hukumsikia raisi wa FIFA siku ile alisema wazungu wanatakiwa wawaombe radhi waafrika kwa waliyowafanyia uliwasikia waliomba hii vita iligeuzwa kati ya Christian na Islam sikatai inawezekana Morocco walikosea ila sidhani kama kweli ilipaswa kuwa issue kiasi kile kwani alivyosema haibadilishi uhalisia kwamba wao ni waafrika ni ujinga tu na ujuha wa mtu mweusi aliyoyafanya Argentina kwa waafrika hakutakiwa kuwa na shabiki hata mmoja kutoka Africa lakini kuna majuha kibao wanashabikia Argentina na team za wazungu ujinga afrika kwa ujinga tulitakiwa tupigwe bomu wote tufe wazaliwe wengine wenye akili hiki kizazi cha sasa kishapoteza direction.
Kama ni ubaya basi waarabu ndio walitufanyia unyama zaidi na ndio maana uzao wetu hauko kwao na kama huamini basi jaribu kuwauliza wale mabinti wanaoenda kufanya kazi za ndani huko uarabuni.
 
Unaanini France wanakutambua wewe..

Uchawa tuandae timu zetu na tuziombee zifanikiwe mzee
Kwani pale walikuwa wanatambulishana, pale tulikuwa yunashangilia tu ukichukilia hata Tanzania haimo.Akaja mmoroko mmoja akanya sasa nani kalazimisha undugu angali kila Mtanzania alijiokotea timi yake ya kushabikia.TUACHANE NA UNDUGU UNAZUNGUMZIAJE HAPA KWENYE UISLAM.AU KOMBE LILIANZISHWA NA MTUME
 
Back
Top Bottom