Modric Hajatuachia deni; Hongera kwa Morocco,haijawahi kutokea Taifa kama wao katika ukanda wa CAF

Tuna ujinga mwingi sana.Kazi yetu nikuangaika na kushabikia ya wengine wakati yetu hatuyawezi.Kama sasa hivi ni ushabiki wa argentina na ufaransa mara messi mara ronaldo tunasahau kua hata timu yetu ya taifa ilipaswa kua kwenye hayo mashindano.Tulipaswa tuwe tunawaimba kina samata badala yakubishana hadi kutukanana kwa mafanikio ya watu wengine na nchi zao ambazo wala hawatujui.Tunakua na uchungu na mafanikio au kushindwa kwa watu wengine kuliko vya kwetu.
 
Mbona tunalazimishana timu ya kupenda?, mimi ninaitakia safari njema France, Croatia na Simba.
Wewe endelea na waarabu wako na waislamu wa Morocco kuwapongeza maana hilo ndo kundi pekee wanalolitambua Wamorocco
Wewe hata historia ya timu yako ya simba huijui. Unafahamu walioanzisha klabu ya simba? Au upo upo tu.
 
Kama ni ubaya basi waarabu ndio walitufanyia unyama zaidi na ndio maana uzao wetu hauko kwao na kama huamini basi jaribu kuwauliza wale mabinti wanaoenda kufanya kazi za ndani huko uarabuni.
 
Unaanini France wanakutambua wewe..

Uchawa tuandae timu zetu na tuziombee zifanikiwe mzee
Kwani pale walikuwa wanatambulishana, pale tulikuwa yunashangilia tu ukichukilia hata Tanzania haimo.Akaja mmoroko mmoja akanya sasa nani kalazimisha undugu angali kila Mtanzania alijiokotea timi yake ya kushabikia.TUACHANE NA UNDUGU UNAZUNGUMZIAJE HAPA KWENYE UISLAM.AU KOMBE LILIANZISHWA NA MTUME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…