Mods naomba ban, tafadhali

Mods naomba ban, tafadhali

Status
Not open for further replies.

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,409
Nina uhakika Yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya Simba (a.k.a Mbumbumbu FC).

Endapo tutafungwa, mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya Watanzania na upotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935, sheria no 5 kifungu no 2, kipengere A.
 
............ Akinyeshewa mvua usikiri anabadilika kuwa nyani.

Halafu mbona umechagua kaadhabu kadogo hivyo.
HAMTOKI KWA NAMNA YOYOTE.
 
Naomba baada ya kumaliza ban usije na visingizio sijui mmeonewa na refa
 
Moderator hebu fanyeni kazi yenu kuanzia sasa, maana jumapili Mnyama lazma ararue mtu.
 
Last edited by a moderator:
Nina uhakika yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya simba (aka mbumbumbu fc)endapo tutafungwa,mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya watz naupotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935,shria no 5 kiifungu no 2,kipengere A
Cc Invisible
 
Hapo umeshadanganya kuliko hilo la Yanga na Simba, Moderator mlambe ban kwa kudanganya kuhusu kifungu cha sheria.
 
Last edited by a moderator:
Huna lolote kufungwa lazima mfungwe tena sio chini ya bao 1, unatafuta kisingizio cha kutokuwepo JF. Mods msimsikilize mpuuzieni tu.
 
Hapo umeshadanganya kuliko hilo la Yanga na Simba, Moderator mlambe ban kwa kudanganya kuhusu kifungu cha sheria.
Hao watu ni wakusamehe tu, mkuu unaweza kubishana na wakurupukaji ambao kila kifungu cha sheria na kanuni za soka wakigusa wanashindwa kesi. Labda hiyo ni sheria ya kuvua kambale wenye ndevu na wasio na ndevu pale bonde la jangwani.
 
simba hata ezeeke vip hafanani na paka
 
Tangu Simba mpate ushindi mechi ya bonanza mmejihalarishia ushindi kwa Yanga. Lakini huu ni ukweli usiopingika this time mnapokea kichapo cha mbwa mwizi.
 
Tangu Simba mpate ushindi mechi ya bonanza mmejihalarishia ushindi kwa Yanga. Lakini huu ni ukweli usiopingika this time mnapokea kichapo cha mbwa mwizi.
Rekebisha hapo, ondoa umoja pana takiwa pawe na uwingi, ukimaliza hapo tuambie hiyo mechi ilichezwa lini?
 
Mbona mikia fc mnajiamini sana kwenye mechi ya jumapili?
Yanga ikifungwa siku hiyo naomba nami wanaopumzisha watu wanipuzishe japo kwa siku tatu ili nimsindikize mkuu yahoo kwenye kifungo alichoomba.
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom