east36
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,306
- 492
Nina uhakika Yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya Simba (a.k.a Mbumbumbu FC).
Endapo tutafungwa, mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya Watanzania na upotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935, sheria no 5 kifungu no 2, kipengere A.
Mbona mikia fc mnajiamini sana kwenye mechi ya jumapili?
Yanga ikifungwa siku hiyo naomba nami wanaopumzisha watu wanipuzishe japo kwa siku tatu ili nimsindikize mkuu yahoo kwenye kifungo alichoomba.
Moderator InvisibleMkuu yahoo nikiwa kama mwanafamilia wa Yanga damu, mtiifu kwa timu yangu niipendayo kwa mahaba ya dhati. Naungana nawewe tukifungwa Yanga jumapili tunaomba ban.
Asiye Yanga haimuhusu hii, tuacheni na Yanga yetu.
Mnaombwa mje huku haki itendeke tafadhali.
Last edited by a moderator: