Mods naomba ban, tafadhali

Mods naomba ban, tafadhali

Status
Not open for further replies.
Huna lolote kufungwa lazima mfungwe tena sio chini ya bao 1, unatafuta kisingizio cha kutokuwepo JF. Mods msimsikilize mpuuzieni tu.

Mkuu kuna ushindi wa chini ya bao moja?
 
Huna lolote kufungwa lazima mfungwe tena sio chini ya bao 1, unatafuta kisingizio cha kutokuwepo JF. Mods msimsikilize mpuuzieni tu.

Kwani msimu uliopita mlichukua point ngapi kwa Yanga?
 
Nina uhakika yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya simba (aka mbumbumbu fc)endapo tutafungwa,mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya watz naupotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935,shria no 5 kiifungu no 2,kipengere A

weka na ile ID yako nyingine ili mod azi ban zote
 
Nina uhakika Yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya Simba (a.k.a Mbumbumbu FC).

Endapo tutafungwa, mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya Watanzania na upotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935, sheria no 5 kifungu no 2, kipengere A.

Avator yako ni ishara ya kile kitakacho tokea, nami nakuambia hivi NIBORA TUSHUKE DARAJA NA SIKUFUNGWA NA NDALA aka YEBOYEBO
 
naona umesahau kifungu kidogo cha i, ibara ya 3a

Hicho kipengere kinakataza mwanamme kumuinglia mwanamme mwenzake kinyume na maumbile,najua yanga watapandishwa kizimbani j3 kwa hiyo sheria
 
Mkuu yahoo nikiwa kama mwanafamilia wa Yanga damu, mtiifu kwa timu yangu niipendayo kwa mahaba ya dhati. Naungana nawewe tukifungwa Yanga jumapili tunaomba ban.
Asiye Yanga haimuhusu hii, tuacheni na Yanga yetu.
 
Last edited by a moderator:
Wee sema tu unataka chukua likizo ya maombolezi mapema, hamna kitu hapo, lazima madogo wawakung'ute tena kavu kavu!
 
Kwani msimu uliopita mlichukua point ngapi kwa Yanga?

Ebu na wewe tukumbushie mara ya mwisho mliokuwa na bonge la timu na kuifunga Simba iliyokuwa inachechemea ni lini?
Mi tano bado nazikumbuka, na za juzi juzi tukiwa hoi bin taaban lakini mkachuchumaa kwa lazima tukapiga bao mbili, mkainjoi, tukainjoi wanaume na maisha yakaendelea!
 
Mkuu yahoo nikiwa kama mwanafamilia wa Yanga damu, mtiifu kwa timu yangu niipendayo kwa mahaba ya dhati. Naungana nawewe tukifungwa Yanga jumapili tunaomba ban.
Asiye Yanga haimuhusu hii, tuacheni na Yanga yetu.

All right,tunauwakika wa kumfunga huyu kibonde wa stend yunaited
 
Last edited by a moderator:
Oyaaaa! Beep ili tujue angalu unapumua, manake kimewaingiaje
 
Yahoo kageuka Google mdomo mrefu.Kimoja chali. Ban utajihukumu mwenyewe.
 
mod huyu mtu bado anapumua au umeshawatendea haki manazi hawa wa yanga.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom