Cc InvisibleNina uhakika yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya simba (aka mbumbumbu fc)endapo tutafungwa,mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya watz naupotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935,shria no 5 kiifungu no 2,kipengere A
Nina uhakika yanga lazima itashinda mechi yake dhidi ya simba (aka mbumbumbu fc)endapo tutafungwa,mods naomba mnipAtie ban ya wiki moja kwa kosa la kuwadaanganya watz naupotoshaji kinyume na sheria ya nchi ya mwaka 1935,shria no 5 kiifungu no 2,kipengere A
Igweeeeeeeeeeee......mtu anayefahamu soka utamjua tu.Mimi sio shabiki wa Timu Za mpira but Lazima yanga ashindwe Kwa mechi yao
Hao watu ni wakusamehe tu, mkuu unaweza kubishana na wakurupukaji ambao kila kifungu cha sheria na kanuni za soka wakigusa wanashindwa kesi. Labda hiyo ni sheria ya kuvua kambale wenye ndevu na wasio na ndevu pale bonde la jangwani.Hapo umeshadanganya kuliko hilo la Yanga na Simba, Moderator mlambe ban kwa kudanganya kuhusu kifungu cha sheria.
Rekebisha hapo, ondoa umoja pana takiwa pawe na uwingi, ukimaliza hapo tuambie hiyo mechi ilichezwa lini?Tangu Simba mpate ushindi mechi ya bonanza mmejihalarishia ushindi kwa Yanga. Lakini huu ni ukweli usiopingika this time mnapokea kichapo cha mbwa mwizi.