pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
Hata Troll JF ni mzoefu sana wa hiyo kituAmuulize warumi anapataga vipi ban
Mie huyu!!!! Mungu mkubwa sijawahi kupatwa na hilo janga tokea nijiunge JF 1/8/2007hata ww na kigogo
Ngoja akusikie utamsababishia apigwe ban kweli kweli.ndio shemeji au sio
Bosi wa humu anaitwa nani?!!!!miaka 10 upo jf hongera
au ww ndio mke wa boss humu
Duuh jirani ubarikiwe upendo wako ni kiwango cha juuWew umewatafutia ban wewe. Wewe umeombaje kuchomelewa? Kwa id nyingine au una namba ya max?
Acha roho mbaya bwana Allepo hao ndugu zako kama ulivyo kwangu
yoo!maxence melo
Waaawoooooo!!!!! jitahidi usipigwe banDooh avatar imekupendeza
Waaawoooooo!!!!! jitahidi usipigwe ban