MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Bishanga nitake razi jamani mana mm nimekuja walishaachana na ndio nishamuweka ktk himaya yangu atakaye taka kuingilia ataomba angepigana na waarabu(mana ndio wanavisa visivoisha ingawa silaha hawana )kuliko mm
 
ndo hvo tena nini mkuu, hebu funguka
 
Bishanga nitake razi jamani mana mm nimekuja walishaachana na ndio nishamuweka ktk himaya yangu atakaye taka kuingilia ataomba angepigana na waarabu(mana ndio wanavisa visivoisha ingawa silaha hawana )kuliko mm

Kwa hiyo wewe na saint ivuga mko razi mjilipue umma ujue kuwa nyie dam dam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…