MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

jf kama kilivyo chombo kingine cha habari/mawasiliano majukumu yake makuu ni:
1.kuhabarisha
2.kuelimisha
3.kuburudisha
mfano: jukwaa la siasa limejikita zaidi katika kuhabarisha na kuelimisha ,mmu iko kikuelimisha zaidi,chi chat ni full burudani,hapa chichat bongo ndo zinapigwa massage.

na jukwaa la wakubwa mnafanya nini?
 
bahati yako hujanitaja. Nilikuwa nimeandaaa smg kabla ya kufungua hapa
 
Back
Top Bottom