usijali my dear, ntawalinda, hata ikibidi kwa manatiameeeennnnn mkwe! tuombe mola wanetu wasikutane na mafataki kama Bishanga. lol!
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaa, kempinski indeed...................ngoja nimelizie lunch hapa kempinski ndo nikurisechi.
Mkuu we subiri tu kadi ya harusi,mambo yakiiva niilete wapi? Kuna mahali nimeelekeza mtutu karibu na koki.hahahha sasa Bishanga hebu sema mi nile ban kwa kisa kipi?
sana sana wewe unatakiwa ule ban kwa kujifanya bepari la kihaya peso imo kumbe fix tu...na kuassume kwamba kila mtoto wa kike hapa atakupendea pesa lol
si ndo ulikuwa unajiadvertise EATV majuzi kuwa unaenda Rose garden na chupa ya chai? apa huwapati kina CUTE, charminglady, Kongosho, Fixed Point, cacico, Cantalisia, gfsonwin, Mamndenyi, Preta, Amyner, Kaunga wala nani sijui wote hao watoto wa town
inahuu (Source Bishanga) LOL
Mkuu we subiri tu kadi ya harusi,mambo yakiiva niilete wapi? Kuna mahali nimeelekeza mtutu karibu na koki.
jf raha sana mkuu,ukitaka kuwowa humu unawowa (hasa kama una hela ndefu).
lolest Fixed Point u have made my day kabisaaaaaaaaaaa! now i can sleep, kujua mkwe wamepata, tena manati yenyewe nakushauri kachukulie chalinze, manati ya mninga! ushawahi kuona weye?usijali my dear, ntawalinda, hata ikibidi kwa manati
Kaizer acha kumwingiza mkenge FP bana,mihela muhimu aisee kwenye malavidavi,we siku ukiishiwa ndo utajua mbivu na mbichi.Umeona eeh Fixed Point....wakikutaka wanakutaka wao sio ubishooo......nimemkumbuka Gmpoleee na sredi yake ya GX 100 ya kuazima kutongozea lol (sijui hakajafunga shule au hadi sensa?)