Mods wa jf

Una miezi sita umeanza kulalamika, waliojoin tangu 2008 watasemaje? Kaa jifunze utaratibu, mila na desturi za maala ndo ulalamike.
Una uhakkika na ulichoongea unaijua I.d yangu ya zaman[emoji41] [emoji23] [emoji91]
 
Una uhakkika na ulichoongea unaijua I.d yangu ya zaman[emoji41] n[emoji23] [emoji91]
I dont care what I care is your current ID Mkiwa mnajipachika ID tofauti shida yenu what are you running from? kivuli chako? Msikilize Lisu anaongea mengine baadaye,
 
I dont care what I care is your current ID Mkiwa mnajipachika ID tofauti shida yenu what are you running from? kivuli chako? Msikilize Lisu anaongea mengine baadaye,
Aaaah sawaa
 
Una uhakkika na ulichoongea unaijua I.d yangu ya zaman[emoji41] [emoji23] [emoji91]
Nasikia ulikuwa kifungoni. Nivi mtu unajoin unsoma insturctions kwanini hata usiweke soni at least mwaka mmoja. Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa Jamii forum fo years ila niliamua kujoin 2015 after about 8 years ila inabidi nifuate masharti.
 
Kamaliza kuongea ila kuna mtu alisema atajinyinyonga anaitwa barbarosa muulize kama ameshafariki? Kijana katoa ya moyoni namwita kijana sababu ni umri kama kumi chini yangu na ni mme wa mtani wangu.
Sawa mkuu niah mkongwee hahaa[emoji276] [emoji41]
 
Nasikia ulikuwa kifungoni. Nivi mtu unajoin unsoma insturctions kwanini hata usiweke soni at least mwaka mmoja. Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa Jamii forum fo years ila niliamua kujoin 2015 after about 8 years ila inabidi nifuate masharti.
Hata mm hvyo hvyo labda ungeuliza nlikosea nini ?? Mkuu we sio malaika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…