Una miezi sita umeanza kulalamika, waliojoin tangu 2008 watasemaje? Kaa jifunze utaratibu, mila na desturi za maala ndo ulalamike.Npo serious kabisaa ila sipo serious saaana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una miezi sita umeanza kulalamika, waliojoin tangu 2008 watasemaje? Kaa jifunze utaratibu, mila na desturi za maala ndo ulalamike.Npo serious kabisaa ila sipo serious saaana
Una uhakkika na ulichoongea unaijua I.d yangu ya zaman[emoji41] [emoji23] [emoji91]Una miezi sita umeanza kulalamika, waliojoin tangu 2008 watasemaje? Kaa jifunze utaratibu, mila na desturi za maala ndo ulalamike.
Mkuu si ulkua Kifungon umetoka !!![emoji23] [emoji120] [emoji91] [emoji15]Wao wanajua kutoa adhabu kali tu kwa watu kama sisi
[emoji15] [emoji15] mkuu uliwakosea nini ??? AiseeMwezi mzima kabisa mkuu
Mkuu taratbuu wasije wakakuramba nyngne itakua sikitiko kuu[emoji23] [emoji23]Demu wa mods
Kabisaa [emoji23] [emoji41]Bora nikae kimya
[emoji276] kimya maana naogpa mods kuliko maguBora nikae kimya
I dont care what I care is your current ID Mkiwa mnajipachika ID tofauti shida yenu what are you running from? kivuli chako? Msikilize Lisu anaongea mengine baadaye,Una uhakkika na ulichoongea unaijua I.d yangu ya zaman[emoji41] n[emoji23] [emoji91]
Aaaah sawaaI dont care what I care is your current ID Mkiwa mnajipachika ID tofauti shida yenu what are you running from? kivuli chako? Msikilize Lisu anaongea mengine baadaye,
Kamaliza kuongea ila kuna mtu alisema atajinyinyonga anaitwa barbarosa muulize kama ameshafariki? Kijana katoa ya moyoni namwita kijana sababu ni umri kama kumi chini yangu na ni mme wa mtani wangu.Aaaah sawaa
Nasikia ulikuwa kifungoni. Nivi mtu unajoin unsoma insturctions kwanini hata usiweke soni at least mwaka mmoja. Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa Jamii forum fo years ila niliamua kujoin 2015 after about 8 years ila inabidi nifuate masharti.Una uhakkika na ulichoongea unaijua I.d yangu ya zaman[emoji41] [emoji23] [emoji91]
Sawa mkuu niah mkongwee hahaa[emoji276] [emoji41]Kamaliza kuongea ila kuna mtu alisema atajinyinyonga anaitwa barbarosa muulize kama ameshafariki? Kijana katoa ya moyoni namwita kijana sababu ni umri kama kumi chini yangu na ni mme wa mtani wangu.
Hata mm hvyo hvyo labda ungeuliza nlikosea nini ?? Mkuu we sio malaikaNasikia ulikuwa kifungoni. Nivi mtu unajoin unsoma insturctions kwanini hata usiweke soni at least mwaka mmoja. Mimi nimekuwa mfuatiliaji wa Jamii forum fo years ila niliamua kujoin 2015 after about 8 years ila inabidi nifuate masharti.