Mohamed Ali Kibao: Napewa onyo kuwa makini, nimefanya kosa gani?

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Mohamed Ali Kibao mtoto wa marehemu Ali Kibao amesema kwa hali ambayo nchi imefikia inatia hofu hata watu wanapofiwa na ndugu yao wanashindwa kuomboleza au kutoa pole wa sababu ya uoga, ambapo hata yeye anapewa onyo kuwa makini

"Tunaishi kwenye mazingira ambayo mtu ndugu yenu mzazi wenu ameuawa ndugu au marafii wanaogopa hata ukupa pole, mpaka sasa kila siku napata maonyo mwambieni kaka yenu au ujumbe moja kwa moja niwe makini nimefanya kosa gani?"- Amesema Mohamed Ali Kibao

Your browser is not able to display this video.
 
Tumeruhusu wauaji kuwa watawala, we're in deep shit for real. CCM hawataki kuachia nafasi zao za kuiba, kufisadi na kukandakiza watanzania. Watatuuwa ili wabaki walipo in the name of AMANI, wao kila kitu ni kuilinda amani, kumbe wanalinda maslahi binafsi
 
Nawasubiri wahadhiri wa kiislamu na BAKWATA waje kutoa maelezo
 
Mzee KIBAO alipouwawa ni Padri Kitima tu niliyemsikia akimuombolezea na ushahidi wa video upo YouTube! Mashehe sijawasikia kabisa hata wale mashehe ubwabwa.
 
Ni muda wa kuondoa hili genge la wahuni na wauaji
 
ujumbe huu usambae kwenye misikiti yote
 
Bado vyombo vya usalama vinachunguza ni nani alimuua Baba yako, maana hakua threat kwa serekali wengi walimfahamu baada ya kuuwawa , sasa kama hakua threat kwa serekali kwanini auwawe na serekali acha uchunguzi uendelee siyo ajabu hata haohao watu wa chama chake cha chadema wakatekeleza mauaji kwa wanachama wake ili kuchonganisha serekali na wananchi.

Kesi za mauaji siyo rahisi huko USA kuna kesi zimechunguzwa na ukweli ukaja kujulikana baada ya miaka 20 inategemeana na huyo muhalifu alijipanga vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…